Mtakuja vunja miguu nyie

Mtakuja vunja miguu nyie

Acha tu tuvunjike bana hiyo kiatu ina raha yake

Kuna siku nimetoka zangu church Kuna wadada walikuwa nyuma yangu nikawasikia wananisema eti "mi siwezi hicho kiatu Kama fashoni zinipitege asa akiteleza kwenye marumaru halafu kanisani

Nikageuka niwaone wanaoongea eh! matukunyema,ikabidi nijichekee tu.. nikasema halali yenu kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
😂jamani ukiteleza si basi watakemea pepo
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Shilole.

High hells inapendeza uwe na usafiri private hata km n ubber nje ya hapo naona n mateso tu,ila heels zipewe heshima na watu wote duniani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom