Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Practice makes perfectMpaka sasa niko cha pili
Practice makes perfectMpaka sasa niko cha pili
NAKAZIAPractice makes perfect
Una mguu mzuri 😍
Ndio nilichokuwa namaanisha unyayo unavokaa hvyo haumii?
😁😁😁
Nilikuonesha tu wewe rafikiUna mguu mzuri![]()
Kimekupendeza sana mbona umefuta picha nilitaka kuangalia tena kwa utulivu.




Maumivu hayawez kosekana hapo.Ndio nilichokuwa namaanisha unyayo unavokaa hvyo haumii?
Eee bhana,waeleweshe waeleweFashion is all that matter, kila kiatu ina sehemu yake ya kuvaliwa.
Shida ni wewe unae enda kariakoo na heels, unasafiri kwenda popote na Heels...
High Heels ni Outing Outfit,ukiiivaa uktembea sana ni hatua 10 umefika unapoenda.
Huna Gari, Huna Hela ya Uber,Huna hela Ya Boda High heelz achia majirani zako! njoo CONTROLA outfit upate mosimo za ten ten upite hivii kama Hussein Bolt.
Sisi tunataka tuone mtikiso, na akiwa na mzigo ndio balaa zaidi