Mtakufa nyie, mie nitawazika

Chuki ipo wapi. Nikukufahamisha tu wewe unayejitoa akili kichwani kutooana hali halisi aliyo nayo huyo unayemtumikia.
Hakuna ninaye mtumikia Mkuu wewe ndiye wasema.
 
1.Yeye ndiye aliyemleta Magafuli na akamuua yeye baada ya kuzinguanq

2.Yeye ndiye engine ya mauaji na utekaji wote hapa nchini
Sina hakika na tuhuma hizo mkuu.

Kwahiyo unataka kusema Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na Watanzania vilaza waliopo leo JK ndiyo sababu?
 
Kikwete Hana muda wa kuwajibu vinabo, hii wamemuandikia tu. Jk ni master wa kuwapotezea haters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…