Of course alikosea kwa wakati ule ndiyo maana akaachilia mawazo mpya ya mzee Mwinyi ila Mwl.Nyerere hakuwa mzembe kwa wakati wake.Miaka 20 wasema mwanzo hapana hadi kambona alimuambia akakaza fuvu matokeo yake nchi imekuja kuokolewa na mwinyi huo ndio ukweli ujamaa ulishashindwa sera za ujamaa ni za kijima kuishi kwa dhiki kwa kulazimisha serikali imiliki ardhi, mitaji na biashara badala ya watu. Serikali kazi yake kukusanya kodi na kuwawezesha watu kumiliki fursa za kiuchumi
Kwamba tukuone msomi we kilaza bambadi wa mashokeni. Giant gas imepatikana leoNimependa avatar picha yako ya the two giant gas planet Jupiter and Saturn.
Dennis Robert Shughuru rob
Oya adriz punguza ujingaKwamba tukuone msomi we kilaza bambadi wa mashokeni. Giant gas imepatikana leo
Ujinga sio kipaji na unafutwa kwa kutafuta maalifa na taarifa Nyerere alikuwa mtukufu asiyepingwa wala kushauriwa na hili nilikuwa naliona kwa hayati Magu, watu wa ujamaa hawatakagi mawazo mbadala nchi ni wao na wao ndio nchiOf course alikosea kwa wakati ule ndiyo maana akaachilia mawazo mpya ya mzee Mwinyi ila Mwl.Nyerere hakuwa mzembe kwa wakati wake.
Kambona aliona ndio, mbona hata wewe leo unaweza kushauriwa jambo zuri na mke wako, rafiki, mama yako au mtu yeyote wa karibu yako na ukapinga kwa kuona kama sio ushauri mzuri kwa wakati huo alafu baadae unakuja kutambua kumbe walikuwa sahihi.
Vipi tukuite wewe ni mjinga au ni bado ulikuwa haujajua ukweli kwa wakati huo na sio kwamba wewe ni mjinga?
Sawa profesaa, alafu me sio Adriz mzee jamaa anakuchora tuOya adriz punguza ujinga
Karibu mkuu.Nimependa avatar picha yako ya the two giant gas planet Jupiter and Saturn.
Dennis Robert Shughuru rob
Hapo sawa ila sio kuwaita wajinga ni dharau sana.Ujinga sio kipaji na unafutwa kwa kutafuta maalifa na taarifa Nyerere alikuwa mtukufu asiyepingwa wala kushauriwa na hili nilikuwa naliona kwa hayati Magu, watu wa ujamaa hawatakagi mawazo mbadala nchi ni wao na wao ndio nchi
Mzee anawambia watasubiri sana.Hakuna tukio ambalo watanganyika wanasubiri Kwa hamu kama hili la JK kung'ata shuka.
Sijui Kwa nini watu wa ovyo wanakawia kufa?
Anyway, hana maisha marefu, soon...
Hakuna sehemu nimewaita wajinga mkuu wewe ndio ulio introduce ilo nenoHapo sawa ila sio kuwaita wajinga ni dharau sana.
Huko kutambua tu kwamba anaombewa hayo, tayari ni kifo kwake. Asijifanye hailewi.Hellow wana JF.
"Siumwi, sina kichomi wanao niombea mabaya watatangulia wao mie nitashiriki mazishi yao". JK.
View attachment 3669615
Kweli aisee Tz ingekuwa hovyo sanaHana hiyana mzee wa msoga kutoka yeye the best anafuata Mwinyi bila hao tz ilingekuwa ya kijima
Tupo pamoja mkuu.Hakuna sehemu nimewaita wajinga mkuu wewe ndio ulio introduce ilo neno
Mimi ni mshabiki wa capitalism tu sio kitu kingine kwahiyo anae endana na sera ya capitalism namuunga mkono ujamaa ni ujima uliokomaa tukiufuata tutegemee rundo la masikini nchini huku watukufu wachache wakifaidi matunda ya nchi
Ni dhahiri kabisa wewe ni "Mjinga", asiyejuwa kuwa ni mjinga.Mimi ni mshabiki wa capitalism tu sio kitu kingine kwahiyo anae endana na sera ya capitalism namuunga mkono ujamaa ni ujima uliokomaa tukiufuata tutegemee rundo la masikini nchini huku watukufu wachache wakifaidi matunda ya nchi
Nimekusoma hapo juuna huyo mwenzio, wote akili ni za kijinga tu. Inawezekana ndio kwanza mnabalehe, bado hamjui hali ya utu uzima ipoje.Hakuna kitu kama icho mkuu mzee anaendelea kula maisha tu siku zinasonga.
Atakufa Mungu akipanga sio wanadamu.
Hayo maneno ukimwambia mdemokrasia kama kikwete atacheka tu na kukuambia nenda kijana ila ukimwambia mjamaa magu utapigwa kipondo kwa order maalumHizo lines nilizichukulia kama dharau sasa tumeelewana.
Sawa mkuumwelevu nimekupataNi dhahiri kabisa wewe ni "Mjinga", asiyejuwa kuwa ni mjinga.
Sasa sitafuti ugomvi hapa na wala sina muda wa kuanzisha darasa la kukuondoa huo ujinga.
Ninachoweza kukushauri, tafuta muda ujielimishe ili kuondoa huo ujinga. Elimu ipo tele kila mahali siku hizi.
Lakini la mwanzo kabisa unalotakiwa kuachana nalo ni hilo la kufikiri unajuwa kitu kumbe hujui chochote.
Dunia ya vita baridi ilikwishapita muda kitambo, wewe usibaki umeganda huko.
Twende taratibu Mkuu kwani nilicho kwambia ni uongo?Nimekusoma hapo juuna huyo mwenzio, wote akili ni za kijinga tu. Inawezekana ndio kwanza mnabalehe, bado hamjui hali ya utu uzima ipoje.