Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.

Ushauri makini sana. Ungepatiwa nafasi na kutekelezwa tungeona busara.
 
mazezeta mnateseka sana poleni sana ila mjue kwamba zitto hazuiwi,fanyeni lolote ila mlijue hilo

Zezeta ni yupi ; anaejitegemea au anaelamba masaburi ya watu ili apate ugali wa kulipiwa??
 



Namuunga mkono zito kabwe kwa hoja zake Ila napingana kwa asilimia mia na Meta hoja na nahisi kakurupuka sana na hii hoja yake. Natambua sana mchango wa zzk ndani ya cdm NA ktk kukiyumbisha ccm. Lkn ukija kuniambia eti mnyika hafai nakushangaa sana NA ntakuona mtu WA a Abu NA usiena aibu mnyika ni bingwa wa kutetea hoja zake kama ilivo kwa zzk. Lakini ushauri WA bure chadema kinaangamia kama tutaruhusu ukabila wa namna hii uendelee nadiriki kusema nataamua kukaa bila chama hill linatia kichefu chefu has viongozi wa juu wanapo kwa kimya NA mabishano ndani ya media yamefikia kiwango hiki. Hi I kweli wwnaotuma hizi thread ni wanachedema au ni mijusi ya CC imeingia humu nakama kama ni cdm nadiriki kusema kwamba ni punguani siasa hatuwez turudi tuendeleee kua watumwa wa CC maana inatia hasira NA aibu kwamba eti badala kujenga upinzani tunajengeana upinzani wenyewe hakika hat a 2015 tutaendelea kua watumwa tu hakuna hat a mwanga Nina uona kwa hii hali.
 
Unajua watanzania wengi tuna matatizo sana ya fikra....mtu anaweza akaamua tu kwa dhati kusema naona watu wengi sana wanampenda mke wangu (hata ambao hawamjui).....mtoa post anasema watanzania wengi tuko nyuma ya Zitto,kwa research ipi? watu wa Mkoa wa Mara,tangu lini?
Haya ndio yanawapoteza vijana....rika la vijana ndio rika linalopenda sifa,na ukimsifia sana kijana hubweteka na kuwa na kiburi akiamini ndio msimamo....hii imewapoteza wengi....by the way Zitto kwangu ni Mwanasiasa na anapaswa kufanya siasa kuwaletea watanzania wa jimbo lake maendeleo!
 


Aisee wewe hufai hata kwa bure jamani hill jambo ni "vita vya panzi" kama kweli tunaitakia mema cdm tutoa ushauri WA kujenga tupinge pale mtu anaposea na tutoe ushauri kin a mnyika wenje nasari sugu wana mchango mkubwa sana ndani ya cdm pia ni ukweli usio pingika kwamba kuchaguliwa kwao pia kuna imputi za zzk hat a ktk historia tulisoma ya kwamba uhuru wa Ghana nq India ulisaidia struggle for indipendence for African nation ushindi WA zito kabwe mwaka 2005 umesaidia sana Hawa jamaa mwaka2010 kupata ubunge. Pia huu ukabila jamani unatapisha kwa kidhani unamtetea zzk au wapinzani wake kupe tunalitundika Tai a kwenye kitanzi. Tubadilike kama kweli ni wafuasi WA mabadiliko tubadilike jamani natoa wito. Hii sio hali.
 

Nenda kapewe ujira wako maana kawa2ma muanzishe thread nyingi za kumsafisha kadiri muwezavyo. Nawaona mpo wengi na mmeingia kwa fujo. Acha ku2miwa b.w.e.g.e wewe nenda kajiajiri acha ku2mika kama condom
 
Hata kama mtafungua id ngapi masalia hatuwaamini tena na zitto ametupa mashaka kitambo sasa. Id za kitambo hapa tunazifahamu iwe ni za wafuasi wa cdm,ccm, au hata ambazo zimegundulika ni za masalia. Wengi wanaomtetea zitto ni wa ccm, id za masalia zile za zamani na id zao mpya. Idi nyingi za zamani za wafuasi wa cdm zinamponda zitto na usaliti wake. Huo ndio uchunguzi wangu kwa leo!
 


propaganda ya uchaga na ukaskazini ilishafeli tafuta nyingine. Kwan arfi, wenje, mnyika, msigwa, sugu, opurukwa, kahigi, machemli, etc ni wakaskazini????
 
Matunguli yashakunasa ww. Jamaa alijitapa ameaga kwao, ukiona ww ni mkereketwa wa zito ujue matunguli yanafanya kazi kwenye ubongo wako.
 
Jembe kwa maana ya nyenzo ya kulimia=hoe au?
Mbona kutwa kuna kelele za matrekta kama majembe yapo?

Zitto wa kawaida mno,mbona kina Zitto wapo kibao mtaani kwetu?ila wa mtaani kwetu hawaui panya tu!!!!
 


Nashauri masalia na Zitto muanzishe chama chenu cha Masalia MP7. Mpitisheni kuwa raisi nanyi mtakuwa mawaziri wake bila kupingwa.

Kila la heri masalia.
 
stupid- like,jenga hoja we nyani usikurupuke kama ke..,kama kenge
Piriton Mara huwa hamna watu wenye akili finyu kama hizo zako wakiamua mtu wao hawageuki na wala huna uwezo wa kuwashawishi wamchague nani usijitafutie ujiko kwa wasiokufahamu
 
We mnafiki umetumwa kuongea upuuzu kama huu mpumbavu, uko nyuma yake peke yako usituchanganye wana mara wapenda haki
 
Na atapotea kama alvopotea babu wa loliondo...
Kwisha habari ake!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…