Hakuna masalia ya zitto hapa,lazima ukweli uwekwe wazi! Lengo la chadema si kuwakomboa watz wote bali kuikomboa kanda ya kaskazini na hilo liko wazi.Baada ya kuona hakuna uwezekano wa kupata madaraka yajuu serikalini kupitia ccm,wakaskazini na hasa wachaga wakaamua kuja na huu mkakati,wengine mob psychology na njaa zao tu zilizowasumbua kujiunga chadema.most of tanzanians are not focussed,they are ready even for matangopori!
Unataka ujibiwe hoja zipi wewe Salia?naona unahangaika sana upo hedhi?pole narudia tena Zito ni sifuri atawadanganya nyie wachumia tumbo msio na akili, bongo zenu za samaki ila sio mimi sinunuliki! Viva Dr slaa tunajua ni mwiba kwa wapuuzi kama masalia ambao changanya akili zao zote hawamkaribii Kamanda ben saanane!
eti "anasimamia anachokiamini" kwa hiyo kama anasimamia utumbo anaouamini basi wewe anakufelisha kabisaaaa!!!
USITUAMBUKIZE UJINGA WAKO!!!!!!!
Sasa kama anampenda Zito si angebaki na upendo wa kumpenda Moyoni Mwake na sio kuleta hapa, ukisha leta hapa ushindani wa hoja ktk kumjadili lazima uchukue nafasi umesikia?Una haki ya kutokumpenda kama ambavyo na yeye ana haki ya kumpenda na kutambua mchango wake.
Nawe kubali usikubali zitto ni MWANA MASALIA na P7Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Uwe na a.d.a.b.u kijana hamna mtu anaye mkataza Zitto kugombea urais au ufalme, Zitto analaumiwa kwa kuwa Msaliti na Ndumilakuwili hilo ndio lina mkosti Zitto. Zitoo anananunulika hivyo hatufai kuwa Rais bora na afadhali niwe mimi Rais ingawa hamnijui ila nina misimamo mikali sana hasa haki inapopotoshwa. Pia zito anapenda kupendwa hata akifanya madudu siasa hizo zimepitwa na wakati. Hivyo kama anaweza ajirekebishe haraka na kuomba msamaha. Pia muono wangu zito anaweza kuwa anatumika na usalama wa CCM kuivuruga CHADEMA. Mungu atuepushe na Huyu Zitoacha ujinga wee nguchiro;nani salia? Mpuuzi nini,safari hii mtaweweseka sana nyie mang'ombegenge,hamna jipya! Mmebaki mkilalama tu khs zitto,wimbi la zitto linawatesa eeh,jinyongeni! Zitto yuko imara na tayari ameshatangaza kugombea urais kupitia chadema! Mnamwamini sana slaa,lile ni debe tu kaishiwa sera sasa,ile ya ufisadi imechuja sasa, hana jipya apumzike
mi nafikiri baada ya kumshambulia zzk mje na hoja ya utendaji wa mbunge mmoja mmoja wa chadema alivyotenda vyema ktk jimbo lake kumshinda zitto kabwe. Mapenzi yetu yasitufanye tuwe vipofu wa kuuona ukweli.
Uko sawa kaka! huyu jamaa ni zaidi ya yanavyomfikiria.Najua wanatambua uwezo wake na ndo maana wanamzushia mengi sana.Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!