Mwanaume yeyote anayezungumzia mambo ya 6*6 kumhusu mwanaume mwenzake huyo ana matatizo na anahitaji msaada wa haraka. chama usione aibu kuomba msaada kwakuwa inaonekana wewe ni mdhaifu downstairs kwahiyo unawaonea wivu wenzako wanaoliungurumisha. Na mwanaume anayekubali mkewe kukwapuliwa naye ni mwanaume "suruali" kama wasemavyo vijana wa mjini, time yeyote naye anaweza kukwapuliwa.
Mkuu Chama wa Gongo la mboto, nakuheshimu na kuthamini mawazo yako binafsi hata kama siyaafiki, huna sababu yoyote ya kunidharirisha kisa tofauti ya mitazamo yetu. Naamini huo sio utamaduni wa kisomi.
Mkuu SEBM
Bado ugeni wako unanipa mashaka; 2006 mpaka sasa hivi sio mgeni tena bado kuna kitendawili kikubwa sana na ujio wako JF; sikubaliani nalo hata kidogo; mgeni gani hata choo huliizi kipo wapi; kona zote ndani ya nyumba unazijua kuwazidi hata wapangaji; mkuu endelea kufunguka zaidi! Nipo Gongs mkuu
Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu wangu chama,
Nadhani haujaelewa logic ya maandiko yangu. Nilikuwa (and still i am) very clear kwamba, tangu miaka hiyo niliyoitaja, nilikuwa Jambo na DHW/DHB kama msomaji tu; na wala sikuwa member hadi majuzi (March 2012) nilipoachakuwa guest na kuwa member.
Miaka 6 ya kusoma na kuona ya JF ni mingi sana. Sina jipya la kulisikia kutoka kwa Waberoya, Malaria Sugu na wahafidhina wengine kwa kuwa nimekuwa nikiwasoma tangu enzi.
Wlau hapa utakuwa umenisoma kidogo.
Halafu Mkuu wangu, unaandika 02am ukidhani wengine tunakesha humu? Kwa tofauti yetu ya masaa, unakuwa unanitesa sana.
1. Kuna jirani yako pale Gombs anaumwa; uliwasiliana naye na kumpa pole?
2. Mjadala/Mdahalo wa Jumatano saa mbili usiku utakuwepo?
Wasalaam,
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
starehe ninayoipata kwa mwanamke inanitosha sana.
Chama
Gongo la mboto DSM
Zitto ni mshirikina mkubwa,chadema wanajua hilo na hata CCM pia wanamwogopa kwa ushirikina,na inasemekana ndiye aliyemroga akapata ajali mzee mudhihiri baada ya ule ugomvi wao bungeni,na mkono aliomnyooshea zitto ndio huohuo uliokatwa,any way haya nimeyasikia CCM wenyewe wakisema sababu za kumwogopa kwao,sasa akiiingia ikulu si atakuwa anaturudisha kulekule kwa shekhe Yahaya.Mkuu wangu chama,
Punguza mapovu. Punguza mihemko. Hapa tunajadiliana kwa hoja. Kuna usemi unasema, " ... na asiye na dhambi, awe wa kwanza kumtupia jiwe mama huyu.." Unajua tafsiri na maana ya maneno haya?
Usitake tukaanza kujadili maisha binafsi ya watu. Wewe una maisha yako binafsi. Katibu Mkuu na Naibu wake wana maisha yao binafsi pia. Unakumbuka ile habari ya " wale wana ndoa wawili (Mungu awarehemu) na ile tuhuma iliyopelekea viapo vya kula kondoo kutokana na kutuhumiana kusaliti ndoa?"..
Nakuomba tusifike huko
Nakala Taswira, Mungi, Mingoi, PhD
Sasa chama kama kweli mke wako anakupa starehe inayokutosha, yanini kushupaza shingo kuzungumzia starehe wanazopewa wanaume wenzako na wake zao?