Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Sizani kama hata Zitto anafurahia haya maneno uliyoyaandika.
unadhani unamsifia zitto kumbe unazidi kumuharibia heshima yake mbele ya jamii na chama chake kwa kutumia lugha ya kitoto kutoa hisia zako.
 
Last edited by a moderator:
Una haki ya kutokumpenda kama ambavyo na yeye ana haki ya kumpenda na kutambua mchango wake.

Pamoja na kuwa na haki ya kupenda anayempenda lakini asimsifie mtu kwa kukashfu wengine. Pamoja na hayo, yote hayo yanatoka wapi?
 

Wewe unejiita piliton ni lazima una umwa pepo la ccm. ccm ndio imekupandia mbegu ya ukabila na ukanda. Hivi wakati Walid Kabourou akiwa cdm ulikuwa na umri gani? Unakumbuka jinsi alivyokuwa na jinsi ambavyo aligeuka? Tafadhali acha upuuzi na hakuna cha maana unachosema hapa bali unazidisha ukanda eti sisi wa mkoa wa mara nani kakuuliza unapotokea? Acha utoto! MUNGU akupe nguvu na ujasiri wa kukiri jina lenye uzima sio piliton wewe ni uzao wa nyoka?
 
Hawa jamaa huwa wanatusumbua sana kuwaeleza kil akitu kw avile hawataki zoeza akili zao kuona mambo kw awepesi na usahihi. hawajui pia wachezaji kama akina boban wana ni hasara sana ktk taifa. huwa wantumia taifa zima kuwa mama na baba yao.Wakishakosa maadili au wakiamua yatupa maadili kuyaokota tena ni shida sana.mwishowe ndipo hukuta wakipotezea taifa hela kuwatibu addictio ya madawa, hasara za wao kusababisha hajali, matatizo yao kuwa role models wabaya, kubalack maila watu wengine etc.Zitto kapaoteza ahra resources muhimu kwa CDM na taifa kwa kupotoezea watu muda wakijadilina kuhusu ushenzi wake na kamikaze kind of games anazocheza.Juzi tuu mmemuona Ray C ikulu na raia kwa issue za madawa, anasema ahsante ya nini wakati hela laiyotumia na atakayopewa kama msaada kuanzia maisha haukustahili kwani ktk akiba yake alipaswa jilipia tabia alizozizianzisha. Hawa jamaa kwa positions walizozipata ktk taifa na kuzinajisi,hawastahili huruma ya wananchi hata kidogo, mwanangu asome ujinga kuhusu zitto, halafu kuna wehu wengine wanamlind akama vile wanamlinda responsible person ni aibu kwa taifa.
 
jembe la kuzolea kinyesi?uroho wa madaraka ndo unawasumbua wa kigoma,hatari sana.

Nahivi unathibitisha ulivyo juha.Aliyekwambia watu wa kan da ya ziwa wanauroho ni nani?siku zote wanahubiri tuache ukabila wewe ndo unauendeleza,sis hatuangalii mtu a natoka wapi ila tunaangalia maslahi atendayo kwa taifa.
 
Mkuu Ritz
Achana na pimbi na huyo anaishi mjini kwa kufadhiliwa; ana ID kama humu jamvini unamkumbuka Gwalihenzi?

Chama
Gongo la mboto DSM
Mkuu Chama wa Gongo la mboto, nakuheshimu na kuthamini mawazo yako binafsi hata kama siyaafiki, huna sababu yoyote ya kunidharirisha kisa tofauti ya mitazamo yetu. Naamini huo sio utamaduni wa kisomi.
 
Mkuu Chama wa Gongo la mboto, nakuheshimu na kuthamini mawazo yako binafsi hata kama siyaafiki, huna sababu yoyote ya kunidharirisha kisa tofauti ya mitazamo yetu. Naamini huo sio utamaduni wa kisomi.

Kamanda hivi na wewe upo kwenye kundi la wasomi?
 
Malezi ni jambo la msingi sana, ulimbukeni wa Zito ndio huu anaamka anajianzishia thread anajiita jembe tu kwa sababu ndani ya familia yake yeye ndio alfa na omega anadhani na kwa watanzania atakuwa hivyo somthing is very wrong
 

Tatizo lingine la Zitto ni dini yake!
 
Masalia tumekubaliana kwamba tusiwaseme tena kina Mnyika hila naona huyu mwenzetu hajaelewa;
Lakini ni kweli kwamba Zitto ni Jembe, hata yule mganga aliyetuchanja chale ma'sabulini alisema jamaa yuko fiti kwenye maswala ya kinga za jad
i.:target:
 
Sidhani kama huyu aliyoandika thread hii kama kikaragosi, suala la zitto kuwa mzuri mi sikatai, ila hoja ya kubaguliwa kwa udini,ukabila na ukanda sio issue, kwa mnyika,heche,mbili sio wachaga? zitto ana haraka sana ya ukubwa, mkanyeni badala ya kumdekeza,
 
Zito ni mnafiki wa kutupwa, ninyo hata kmibadili ID namna gani tumeshawshitukia, Zito hawezi kusafishwa na uzuri nyinyi wenyewe mmesaidia kutupatia ukweli
 

Mkuu SEBM
Bado ugeni wako unanipa mashaka; 2006 mpaka sasa hivi sio mgeni tena bado kuna kitendawili kikubwa sana na ujio wako JF; sikubaliani nalo hata kidogo; mgeni gani hata choo huliizi kipo wapi; kona zote ndani ya nyumba unazijua kuwazidi hata wapangaji; mkuu endelea kufunguka zaidi! Nipo Gongs mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mwita Maranya
Na wewe unataka kuwa kama wale vijana wanaofadhiliwa na wanaume wenzao hapo mjini? Sikujua kama unatoa misaada midogomidogo kama hiyo; Mkuu rudi tena kwenye maandiko matakatifu mtakatifu Paulo ameyakemea sana mambo hayo; starehe ninayoipata kwa mwanamke inanitosha sana.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…