Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Mura, wewe kweli ni mmoja wa watu msiomfahamu Zitto hata chembe lakini mmejawa chuki na kudhani kwamba mnamfahamu, nakushangaa kila siku unavyoweweseka na mimi! Kuna mwenzako pia nimemshauri jana amuulize Ben Saanane kama Zitto ana ID zaidi ya hiyo yake iliyokuwa verified.
 
Last edited by a moderator:

Nimemkubali sana ila waishauri wizara ya kilimo,chakula na ushirika,kama ni wizara watendaji wabaya hasa wa kati kwenye baadhi ya kanda mpaka na mifano tunayo,ila inatokana na management ya wizara ujanja ujanja umeziti mno.
 
zitto ni jembe la mkono, amepitwa na wakati, tunahitaji matrekta.
Usimdanganye, huku mara hana nafasi kama wale wanaomtuma.

Sifa la Jembe lolote ni hizi:

1.0 Jembe lolote lazima liwe na tundu kwa ajili ya kupitishia mpini.

2.0 Halifanyi kazi mpaka liingiziwe mpini katikati ya tundu lake.

Kwa sifa hizo Zitto ni jembe kweli.
 

Sina chuki na wewe isipokuwa matendo yako ndo siyapendi na sikubaliani nawe. Mimi sitegemei siasa kuendesha maisha yangu kwahiyo siwezi kuweweseka zaidi sana wewe ndiye unaweweseka baada ya mipango yako ya usaliti kubainika.
Wasaliti wote mahali pao ni katika ziwa la moto. Ninakuhurumia ulivyojimaliza mwenyewe, umejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.

Nikukumbushe pia kwamba sihitaji kumuuliza Saanane juu ya ID yako nyingine, tayari tumedhaambiwa wewe na kundi lako mna ID kama 20 hivi mnazotumia kujibu mashambulizi hapa JF pamoja na kukusifu usiku na mchana!
 
Last edited by a moderator:

wewe umenena siyo mbulula wanaotokwa povu kama mgonjwa wa kifafa
 
Vipi kuhusu Prezoo, Dogo nk ambazo Ben Saanane amezitaja kwenye topic yake?
 
Last edited by a moderator:
Hana cha ujembe wowote zaidi ya uroho wa madaraka!
uROHO GANI ULIO UONA WEWE?SISI TULIO KANDA YA ZIWA TUNAMKUBALI SANA ZITO KWELI NI JEMBE.SONGA MBELE ZITO USITISHIKE NA WATU WACHACHE SANA WANAOKUCHAFUA.
 

pole sana mkuu,Ben saanane si ndio mungu wako.Imani yako kwake,endelea kumsujudia
 
Ben saanane si ni yule mtumishi wa wale mabosi wa juu.Anatumikia tumbo lake hapa mjini
 

wahusika wakisoma hapa wanakata tamaa kabisa kabisa ya kutumikia kazi yao inayowapa kula.\\zitto ni zaidi ya wote uliosema.
zitto ni national politial figa
 

Nakala ilikokwenda ndio washiriki wkao wakuu kumchafua zitto,But the man is smart.
Yote ulioandika hapa ni tamthiliya zile zile mlizotunga nyie na kundi lenu la CDK
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…