Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,395
Aje tufugie mbuzi,aache kukaa dar
anunue mashine za kupima uzito kama 4 na 3 kuwapa vijana waaminifu moja akae nayo yeye akiwa na mwavuli na deli la vinywaji baridi na maji na vitu vidogo vidogo..mashine inauzwa laki na hamsini standard hesabu kwa dar per day ni tsh 3000-5000 per day.akiwa na vijana wa 3 ana tsh takribani 1000-15000 per day ... ya kwake tuseme atafanya 5000 per day bado biashara anaweza kujikuta anafaida ya kuanzia 5000- 10000 per day akitoa kila kitu .. baadaya muda atajiongeza akiwa mjanja. niko dar nilipita kama yeye naNina mdogo wangu nataka kumpa 1 Mln. Atleast aanze kujishikisha kuliko kukaa home. Je anaweza kufanga biashara aina gani? Leave apart mawazo aliyonayo still wewe kama mdau unaweza kuja na wazo bora zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mradi unalipa sana,mbuzi ukiwa nao wengi ni Kama asset ila watu hudharau miradi Kama hii na livestock keeping ni zero tax ratedKuna jamaa kaanza kuwafuga hawa mbUzi wanaozaa mapacha kama masihara saa hizi ana rundo la mbuzi mpaka nawatamani
Hivi hapa ulikuwa unamaanisha ''achilia mbali''?Leave apart
Kutamani mali ya mwenzako ni dhambi.Kuna jamaa kaanza kuwafuga hawa mbUzi wanaozaa mapacha kama masihara saa hizi ana rundo la mbuzi mpaka nawatamani
Mfungulie Mpesa.Nina mdogo wangu nataka kumpa 1 Mln. Atleast aanze kujishikisha kuliko kukaa home. Je anaweza kufanga biashara aina gani? Leave apart mawazo aliyonayo still wewe kama mdau unaweza kuja na wazo bora zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mwisho wa siku inakuwaje baada ya kufuga hao abiria wa bombadia za Magu? How do they get you money!Ni mradi unalipa sana,mbuzi ukiwa nao wengi ni Kama asset ila watu hudharau miradi Kama hii na livestock keeping ni zero tax rated
Hebu nipe Abc za huu mradi nami niufanyeMzee baba nunua chenga za madini ya Ruby at least kg 2. Kwa lak 6-7. Vusha hapo Nairobi utauza kila kilo bei ya chini kabisa 2,200,000/ (kwa kilo moja).
Good luck
mali iko shambani
vitabu vya zamani vile vya Juma na Roza ndio walikuwa wanatu brainwash na mashairi ya "mali iko shambani."
ushasikia kitu kinaitwa "farm subsidies"? Ruzuku kwa wakulima
wengi sana wanatajirika shambani.apa jf tena wapo ukitembelea sha
bani kwake hautoamini.kina masanja wanalima mpunga uko wanapiga ela ndefu tu
wengi
Hutumika sana magharibi huko kwenye wakulima wa ukweli na mipembejeo ya kila aina, lakini bado mkulima hata siku moja hawezi kusimama mwenyewe bila kusaidiwa bure na serikali ili biashara isife na dunia ipate chakula na raw materials. Last week Mo Dewji kanyang'anywa mashamba Tanga na Morogoro huko, kashindwa kuyaendeleza. Ushasikia nani katajirikia shambani?
Farm Subsidy or Agricultural Subsidy or Agricultural Incentive is a government incentive paid to agribusinesses, agricultural organizations and farms to supplement their income, manage the supply of agricultural commodities, and influence the cost and supply of such commodities. WIKIPEDIA
Kilimo bila ruzuku hutoki
vitabu vya zamani vile vya Juma na Roza ndio walikuwa wanatu brainwash na mashairi ya "mali iko shambani."
ushasikia kitu kinaitwa "farm subsidies"? Ruzuku kwa wakulima kilimo kinalipa mpaka watu wanaacha ajira zao .wanajutia muda waliopoteza kwenye kuajiriwa.malengo tu