Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

Unajua biashara ipo kwenye dam like hobby fulani,na ndio maana kuna biashara huwa haziingwi,utashangaa wewe unashindwa kuifanya na mtaji unakata ila wenzio wanakomaa na mambo yanaenda vizuri mwisho wa siku unatafuta mganga.

Muhim kwanza yeye mwenyewe mleta uzi kwanza anafikiria nini baada ya kupata hizo hela na sio kuuliza general namna hii.

Na kama kuna kijana yoyote anapata pesa hata laki moja na hana ndoto yake ya awali,basi atafeli tu kwenye maisha.Ushauri wa watu wengine huwa ni ziada tu ya kukupa guideline huko unakoelekea.
Zipo Biashara ambazo kila mmoja anakuwa na ndoto nazo,na zipo biashara ambazo lazima mtu ukajifunze kwanza ndio ufanye.

Mfano mie,kwenye Pick up,na bodaboda huna cha kunieleza naelewa vizuri,kwa Zanzibar kwenye Spices zangu nafanya vizuri na changamoto zoote nakubali na napaambana nazo.

Mwakani nafikiria kuingia kwenye ufugaji wa Samaki,maana ni hobby yangu tangu nipo mdogo nilikuwa naenda mtoni kuwavua na kufuga nyumbani,walikuwa wakifa basi lazima nilie mpaka basi.
Sasa mpango hapa ni kwenda kusoma kwanza,na nimepanga kwenda chuo chochote kuomba kozi fupi ya miezi minne hadi sita,yaani niingie wakati wa kuanza nursery yao hadi uvunaji wao ili nikitoka hapo niwe nimeiva vizuri sana na hata ikitokea tatizo basi nakuwa najua pa kutokea.Sio kubahatisha

So,kijana kuwa na hela na kuuliza ufanye nini bila kueleza kwamba wewe ndoto zako za awali ni zipi,basi jua unaugonjwa kuliko ebola.

TUBADILIKE
 
Naombeni ushauri nina milion 5 naweza kuzifanyia kitu gani kwa mda mfupi ikazalisha or naomben mnipe ideal ya b'ness

Habari humu,
Nina wazo bora na nimepata tender ya biashara pale QUALITY CENTRE MALL.

Wazo lenyewe ni kufungua PLAYSTATION AND XBOX GAMES STUDIO pale Quality centre, Funspot.
Mpaka sasa nimeshapata deal la kuwekeza pale na wamiliki tumekubaliana kuhusu chochote kinachopatikana ni 50:50 na wamiliki wa QUALITY CENTRE.

Hii biashara ina pesa sana.
Tumepanga kuweka Tv 6 kwa kuanzia.

Gharama kwa saa ni 10,000
Na sehemu inafanya kazi masaa 12 kuanzia saa 4asubuhi mpaka saa4 usiku.
Makadirio ya mahesabu ya pesa itayopatikana kwa siku.
Tufanye sehemu itakuwa active masaa 4 kila siku imejaa watu
6 Tv *10,000 *6 =360,000 kwa siku
Kwa mwezi.

360,000* 30= 10,800,000
Makubaliano ya biashara baina ya mimi na quality centre ni 50:50
Na quality wanalipa kodi, umeme na gharama zingine za pango.

***Kipengele ambacho kinakuhusu mwekezaji.

Pesa inayobakia ni 5,400,000 na kama ukiwekeza *5Million utapata 1M kila mwezi na mkataba wa miezi 12 mzima.
Karibu.

Kwa maelekezo zaidi usisite kuwasiliana na mimi. Natafuta mwekezaji wa biashara hii.

kuna pesa nyingi pale.
Karibu.

0717022737.
 
Aisee,uwekeze 5m unapata 1m kwa mwezi.

Hapa utawekewa mipango telee,na wengi wasio na mawazo binafsi ya awali ndio huishia kupoteza pesa.
 
Mkuu safi sana!
Huwa naikubali sana michango yako.
 
Mkuu analysis ya biashara mtu anayo taka kuifanya katika eneo husika ni muhimu sana asije akajuta kupoteza pesa zake.
 
Mkuu usiwe na mawazo ya kitanzania ya kufanya kitu kila mtu anafanya. Dunia imebadilika kila kitu ni fursa tatizo tunaongea lugha tofauti hauwezi kuona nacho kiona na hautokiona milele mpaka uone biashara hii inazungumziwa iTV.
 
Aisee,uwekeze 5m unapata 1m kwa mwezi.

Hapa utawekewa mipango telee,na wengi wasio na mawazo binafsi ya awali ndio huishia kupoteza pesa.

Tatizo unashindwa kuelewa mkuu...ungeuliza kwanza kuliko kusema kitu usichokijua...dunia imebadilika kila kitu ni fursa tena ukajua utumie mbinu zipi na mikakati ipi ili uweze kutengeneza pesa nyingi. Tatizo watanzania tumekariri biashara za kufanya ndo maana hatuwezi kufika kule tunapotaka. Hatuna mikakati madhubuti ya kufanya biashara.
Ungeyliza kwa unatumia strategies zipi kupata na kumlipa huyo jamaa 1m. Kila kitu ni possible ukijua njia zipi upite.
 
Habari humu,
Nina wazo bora na nimepata tender ya biashara pale QUALITY CENTRE MALL.

Wazo lenyewe ni kufungua PLAYSTATION AND XBOX GAMES STUDIO pale Quality centre, Funspot.
Mpaka sasa nimeshapata deal la kuwekeza pale na wamiliki tumekubaliana kuhusu chochote kinachopatikana ni 50:50 na wamiliki wa QUALITY CENTRE.

Hii biashara ina pesa sana.
Tumepanga kuweka Tv 6 kwa kuanzia.

Gharama kwa saa ni 10,000
Na sehemu inafanya kazi masaa 12 kuanzia saa 4asubuhi mpaka saa4 usiku.
Makadirio ya mahesabu ya pesa itayopatikana kwa siku.
Tufanye sehemu itakuwa active masaa 4 kila siku imejaa watu
6 Tv *10,000 *6 =360,000 kwa siku
Kwa mwezi.

360,000* 30= 10,800,000
Makubaliano ya biashara baina ya mimi na quality centre ni 50:50
Na quality wanalipa kodi, umeme na gharama zingine za pango.

***Kipengele ambacho kinakuhusu mwekezaji.

Pesa inayobakia ni 5,400,000 na kama ukiwekeza *5Million utapata 1M kila mwezi na mkataba wa miezi 12 mzima.
Karibu.

Kwa maelekezo zaidi usisite kuwasiliana na mimi. Natafuta mwekezaji wa biashara hii.

kuna pesa nyingi pale.
Karibu.

0717022737.

Ndugu vipi kuhusu leseni ya kutumia hizo games (playstation na xbox) commercially.
 
ni fan wa arcade gaming toka enz za unique upanga, musa kariakoo miaka ya 90.. na mpaka leo mtu mzima nacheza game home sana tu. nina ps3 na xbox one..

lakini ukweli lazima niseme.. hakuna mtu wa kumchezesha game kwa elfu 10 kwa saaa moja.. hata kwa elfu 5 tu hayupo..

asilimia kubwa ya wateja wa gaming ni school kids, ambapo ni ngumu kulipa hiyo hela...

na almost kila mtoto anayetoka familia yenye uwezo ana game yake nyumbani..

na nisikudanganye ndugu yangu.. uweke milion 5 na uzalishe 1m kwa mwezi ni haiwezekani..

kwanza m5 ni hela ndogo sana na sana kwenye serious business yoyote
 
Babu yile jamaa hata me cjamuelewa.kama kila kitu kinalipiwa na quality centre sasa io inayoitajika ya nini??huyu jamaa kama namjua nshawahi kumuota ndotoni;-);-);-);-) kama waleeee
 
Back
Top Bottom