Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,850
- 2,732
Mimi ni mfanyakazi wa Serikali nipo Mbeya, nina elimu ya degree ya sheria, ila ninafanya kazi tofauti na sheria, hivyo kutokana na ugumu wa maisha nimeona bora nikope bank ili niweze kuanzisha biashara kwa ajili ya kuongeza kipato.
1. Sifurahishwi na Mwanasheria kukopa benki milioni 2 kama mtaji wa kuanzisha biashara wakati wanasheria straight toka vyuoni ndio wanalipwa ujira huo wakiwa Legal Officer tuu kwenya law firms!.
Mkuu Pasco hii law firm inayomlipa legal officer 2M ipo eneo gani hapa TZ nitupe kila kitu nikawe legal officer hapo??
Last edited by a moderator: