Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 891
- 652
Okoa pesa yko na muda wako mkuu, hii issue ni kichefu chefu, nilijiungaga nao mwaka 2007, nikasota sana kupanda daraja mpk nikafika level ya u meneja, bt faida ni kama hakuna tuu zaidi ya kupoteza pesa na mda wako wa kuzunguka kama machinga kushawishi watu waingie ili upate 4cc. Fanya kingine lkn sio hii kitu.Kwaanae ijua kampun ya kimalekan inaitwa FOREVER LIVING PRODUCT
inahusiana na usambazaji wa bizaa za aloe veLa we cha kufanya unaanza na mtaji wa tsh 400,000 unachukua bidhaa zao hapo utakuwa umejiunga moja kwa moja
Network marketing inakujaje apo pare unapo washirikisha watu wengine kuhusiana na hii biashara nao wakaamua kufanya bas kampuni itakulipa ivo ndio nilikuwa namaanisha
Kwahapa dar ofisi za kampuni zipo makumbusho pale
SO NIIVO YAANI JUST USHAULI..
AHSANTE