Dah sio ya kucheka ila sina jinsi😂😂😂Wewe jamaa kila siku una matatizo kuanzia ya kifamilia mpaka biashara
Yote haya ni wafanyakazi wa serikalini nao wanabiashara pembeni.Kwa miaka karibu mitatu au minne boashara zimekuwa na changamoto sana. Soko limekuwa saturated kila mtu amekuwa mfanyabiashara.
Kuna siku nilitaka kusema nikaona nitakuwa na “nongwa”😁Wewe jamaa kila siku una matatizo kuanzia ya kifamilia mpaka biashara
sio kila pesa inapatikana kupitia biasharaHizo 70m ulizipataje ? Fanya hicho hicho kilochokupa huo mtaji, kwa maarifa ziaidi ili upate zaidi na zaidi !
Tuma code betpawa mkuu😁Yaani 70 m ndio ufanye biashara ya duka la vyakula kweli?hapo si unaingia Songea au Tunduma unabeba semi yako ya mahindi unafika makambako dalali anakupa connection ya mkenya unauza mzigo...achana na duka litakustres
Kwani sababu gani zimefanya huo mtaj hushuke hapo ndo hujiulizeWakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana
Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida
Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
Dhahabu inapanda sanaChukukua milioni 40 weka kwenye dhahabu
Baada ya mwaka mmoja utakuwa ni mwingine kabisa
Hebu nielekeze hii biashara,hiyo dhahabu inayopanda ni ipi?nimeshawahi kujaribu kuuza accessories zangu zaidi ya mara mbili bei inakuwa karibu nusu bei uliyonunua inakuwaje?Chukukua milioni 40 weka kwenye dhahabu
Baada ya mwaka mmoja utakuwa ni mwingine kabisa