Majukumu ya Mwalimu

philantrhopist

JF-Expert Member
Jun 18, 2023
376
622
Walimu wanamajukumu mengi sana ukilinganisha na wanacholipwa. Walimu wanatofautiana kuanzia msingi, sekondari, hadi vyuo. Kadri ngazi inavyoshuka ndivyo wanalemewa na majukumu.

Ualimu kwa nchi nyingine ni kazi nzuri yenye furaha na mshahara wa kutosha lakini kwa Tanzania ndio wanapata taabu. Pia wanasimamiwa na wanasiasa. Mwanasiasa ana nguvu sana licha ya wasimamizi wengine k.v wakaguzi, maafisa elimu na walimu wakuu.

Ni kazi inayotia msongo wa mawazo sana. Licha walimu wengi ni woga wa kuacha na kazi na kujiwekeza sehemu nyingine licha ya mshahara mdogo sana.

๐Œ๐š๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฅ๐ž ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ข

Kuamka saa 11na kuwahi namba,
kukimbia mchaka mchaka,
kukagua usafi wa shule na wanafunzi kwa ujumla,
kuingia darasani na kufundisha vipindi tisa kwa siku yaani hana SOMO MAALUMU anatakiwa afundishe lolote hata hana uzoefu nalo.

Kuita majina, kusahihisha madaftari 1500 kwa siku,
kufanya masahihisho,
kusimamia nidhamu ya wanafunzi kila saa darasani sio kelele, kupigana n.k

Kupewa vitu vya majaribio mf. MEWAKA yaani wao ni kama uwanja wa mpira kila linapokuja jaribio la ujinga ujinga wanajaribia huku mabosi wakipa mahela mengi.

๐Œ๐š๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ฌ๐ž๐ค๐จ๐ง๐๐š๐ซ๐ข
Kuamka saa 11 kuwahi kusimamia watoto usafi namba n.k,

Kuingia darasani, masomo yake ni moja au mawili na siku nyingine hana kipindi.

Kusahihisha sio lazima.

Tofauti kati ya msingi na sekondari ni kidogo yaani matatizo ni yale yale ila walimu wa sekondari wanajiamini kidogo tofauti na msingi.

Kwenye maendeleo walimu wa msingi wengi wao wana maendeleo kuliko sekondari kwa sababu wanadhaulika sana hivyo wamefokasi sana kwenye maisha kuliko sekondari walio jisahau kwa kujiona wako juu.

Walimu wa msingi hawana aibu sana kama wa sekondari hivyo wanalima bustani, wana maduka, mashine za kusaga, ufugaji wa kuku nguruwe, n.k

Kada ya ualimu ndio serikali inayopiga dana dana inavyotaka na hakuna wa kulalamika. Hivi sasa kuna kikotoo yaan pensheni unaweza kulamba m20 na ukafa kesho yake kwa stress kwa huna elimu ya pesa na hujawahi kujiwekeza hivyo m20 haitoshi kununua bati 20.

Nini kifanyike ili kada hii iwe na unafuu,

Kwanza wanasiasa wakae pembeni, wizara ya elimu ijitegemee.

Serikali iache kutia mitaala maji, yaani wakibadilisha wabadilishe kweli sio kubadili makava ya vitabu kumbe ndani ni yale yale. Watoe elimu inayomsaidia mtu na sio inayomdumaza kiakili. Wazingatie vipaji wa watu.

Kuna tunu kubwa sana taifa lakini hawatambuliki bali kuna watu wasiojiweza wapo kwenye nafasi ambazo hawaziwezi.
 
Mwalimu sio mtumishi wa serikali,
Mwalimu ni MTUMWA wa serikali
 
Mwalimu anafanya kazi masaa24!! Undani huu, mtu wa kada nyingine hawezi kuufahamu!!

Kwanza mwalimu hawezi kuingia darasani kama hajajiandaa!! Kujiandaa kunaanzia kusoma ili upate cha kufundisha, kuandaa notsi, kusoma ili kuwa na mpangilio madhubuti wa uwasilishaji somo husika! Tofauti na kada nyingine mfano Daktari ni kwamba, daktari atakutana na mgonjwa ofisini na atamshughulikia hapohapo akimaliza basi!! Mwalimu akishafundisha, anatoa mazoezi na inabidi asahihishe!! Wanafunzi wakifeli mitihani, walimu wanalaumiwa!! Kwa wenzetu mgonjwa akifariki unapewa jibu "tumejitahidi kadri ya utaalamu wetu, imeshindikana" na mnaondoka mnalia basiii!!! Kwa kweli walimu wapewe maua yaooo!!!
 
kazi hatari sana
 
Ualimu kwa nchi nyingine ni kazi nzuri yenye furaha na mshahara wa kutosha lakini kwa Tanzania ndio wanapata taabu.
Hapa ni wapi??? Uleule ujuaji wa kishamba! Nani aliyekuambia mshahara unatosha??? Badilisha mtazamo!

English teaching unions to strike during Tory conference if pay deal rejected​

The issue of teachersโ€™ pay was coming to a head this weekend, with a compromise deal emerging. It would see teachers handed the 6.5% increase recommended by the independent pay review bod

Thousands of Oakland teachers go on strike, demand higher wages​

More than 3,000 teachers and other workers in the Oakland Unified School District went on strike Thursday, saying the district failed to bargain in good faith on a new contract that asks for more resources for students and higher pay for employees.

Back
Top Bottom