Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 13,822
- 39,468
Wafaransa wanapiga hiyo kituOyaa, kwa Wachina labda
View: https://m.youtube.com/watch?v=Bp_2GNFyjOA
Wafaransa wanapiga hiyo kituOyaa, kwa Wachina labda
Njoo nikuonyeshe 😎Kumuona tu naogopa plus hiyo kudhuru
Panya buku huwa anapiga sarakasi nyumbani kwangu anapo kimbilia kwenye shimo baada ya kunionaHili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..
Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄
Sasa bana kila mtu atutajie mnyama au mdudu anayemuogopa na sababu za kumuogopa, huenda tukajifunza kitu.
Binafsi namuogopa sana PANYA, sio kwamba namuogopa kwamba ataning'ata, hapana... Namuogopa tuu bila sababu.
Kadhalika, sijawahi kuweza kumuua panya, hata umfunge kamba hlafu unipe fimbo au jiwe nimpige afe, siwezi kabisa, maana mikono ni kama inapata ganzi na kukosa nguvu na sitaki awepo/apite karibu yangu.
Nikifika sehemu hlafu nijue kuna panya, hapo sitokuwa na amani kamwe.
Na hata nimkute amekufa hlafu uniambie nimshike, utakuwa umenipa adhabu kubwa sana nisoiweza.
Karibuni kwenye mada.
Nyoka anaweza kubattle na ww kwenye mkiwa juu ya mti, pangoni, majini au nchi kavu.Unamuogopa kuwa atakudhuru,
Nakosa sana amani nikimuona, namuona kama mchawi vileIla kinyonga naye ana sura personal, lazima uingie upepo😄
Anatishajamani hana madhara huyo
The Same 2 me,Yaani Mimi na nyoka tuna uadui Wa kudumu!Nyoka
Konokono ni yai linalotembea, usimuogope ni kitoweo safi kabisa hapa Dodoma.Simuogopi ila sipendi hata kumuona huyu ni konokono nahisi kinyaa sana ikitokea nimemgusa bahati mbaya
Samahani jinsia yako ni gani?Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..
Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄
Sasa bana kila mtu atutajie mnyama au mdudu anayemuogopa na sababu za kumuogopa, huenda tukajifunza kitu.
Binafsi namuogopa sana PANYA, sio kwamba namuogopa kwamba ataning'ata, hapana... Namuogopa tuu bila sababu.
Kadhalika, sijawahi kuweza kumuua panya, hata umfunge kamba hlafu unipe fimbo au jiwe nimpige afe, siwezi kabisa, maana mikono ni kama inapata ganzi na kukosa nguvu na sitaki awepo/apite karibu yangu.
Nikifika sehemu hlafu nijue kuna panya, hapo sitokuwa na amani kamwe.
Na hata nimkute amekufa hlafu uniambie nimshike, utakuwa umenipa adhabu kubwa sana nisoiweza.
Karibuni kwenye mada.
Kwasababu ana rangi ya ccm ama?Nyoka wa KIJANI😀😀😀😀
Hauko pekeyako .Kinyonga
Anatisha sana yule mduduHauko pekeyako .
Mama yangu si tu anamuogopa bali huwa anapatwa na panic attack anaanza kutapika akimuona kinyonga.
Mnyama mdogo aitwaye binadamuHili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..