a4afrika
JF-Expert Member
- Apr 13, 2012
- 1,644
- 1,630
Halafu wenyewe sasa wanapenda kujipendekeza kwa watu.Mijusi huwa siielewagi kabisa.

Huyu mshenzi kupenda kugusana gusana namchukia sana pakaPaka ana ninyima confidance kabisa kwa watu
Wanavopenda kujipendekeza sasa, huwa wananikera sana mimiPaka ana ninyima confidance kabisa kwa watu
Huyu mshenzi kupenda kugusana gusana namchukia sana pakaPaka ana ninyima confidance kabisa kwa watu
Mungu azidi kukulinda🙏Mimi nyoka sijawahi kumuua, ila kwa bahati nzuri nakuwaga nawaona mapema, ila kubwa zaidi ni Mungu ananilindaga dhidi yao, maana mazingira mengine niliepuka sio kwa ujanja wangu.
Mfano, kipindi nipo std.3-4, kijijin kwetu hapakuwaga na umeme enzi hizo, tukiwa mezani kwenye nyumba kubwa tunataka kuanza kula nikaagizwa kitu jikoni (nyumba nyingine), nje kuna giza ila tushazoeaga mazingira, asa hyo siku nataka kutoka nimeshafika mlangoni nimeufungua, ila nafsi ikasita kabisa, nikarudi kuchukua tochi 🔦, ile naiwasha tuu namulika pale chini mlangoni nichukue viatu namuona nyoka mweusi unene wa kidole gumba amelalia tambara ya kudekia, kajisokota katulia tulii, inamaana pale ningetoka na giza ningemkanyaga na asingeniacha salama. Basi nikawajulisha wakamuua, ila sijawahi kushiriki kuuaga nyoka. Na sio tukio hilo tuu, yapo mengine ila sikuepuka kwa ujanja wangu.
Ahaa kudadadeki, mimi bila kuficha mnyama na mdudu pekee nimuogopaye na kumchukia ni CCM tu na si mwingine.Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..
Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄
Sasa bana kila mtu atutajie mnyama au mdudu anayemuogopa na sababu za kumuogopa, huenda tukajifunza kitu.
Binafsi namuogopa sana PANYA, sio kwamba namuogopa kwamba ataning'ata, hapana... Namuogopa tuu bila sababu.
Kadhalika, sijawahi kuweza kumuua panya, hata umfunge kamba hlafu unipe fimbo au jiwe nimpige afe, siwezi kabisa, maana mikono ni kama inapata ganzi na kukosa nguvu na sitaki awepo/apite karibu yangu.
Nikifika sehemu hlafu nijue kuna panya, hapo sitokuwa na amani kamwe.
Na hata nimkute amekufa hlafu uniambie nimshike, utakuwa umenipa adhabu kubwa sana nisoiweza.
Karibuni kwenye mada.
Akizikwa hawatakugusa, bali utapukutishwa na bakteriaFunza. Mmmh kila nikifikiria nitakufa nitageuka msosi wao mmmh inauma sana
Kama Humprey Polepole, mimi ni CCM tu kwaní wao ndiyo adui wa haki ya kila MtanzaniaHili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..
Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄
Sasa bana kila mtu atutajie mnyama au mdudu anayemuogopa na sababu za kumuogopa, huenda tukajifunza kitu.
Binafsi namuogopa sana PANYA, sio kwamba namuogopa kwamba ataning'ata, hapana... Namuogopa tuu bila sababu.
Kadhalika, sijawahi kuweza kumuua panya, hata umfunge kamba hlafu unipe fimbo au jiwe nimpige afe, siwezi kabisa, maana mikono ni kama inapata ganzi na kukosa nguvu na sitaki awepo/apite karibu yangu.
Nikifika sehemu hlafu nijue kuna panya, hapo sitokuwa na amani kamwe.
Na hata nimkute amekufa hlafu uniambie nimshike, utakuwa umenipa adhabu kubwa sana nisoiweza.
Karibuni kwenye mada.
Kama wanavyosema wenzangu, mimi pia mdudu nisiyempenda ni CCM tu ambaye naye pia hanipendi mimi kama mwananchi wake na mlipa kodi halali.Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..
Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄
Sasa bana kila mtu atutajie mnyama au mdudu anayemuogopa na sababu za kumuogopa, huenda tukajifunza kitu.
Binafsi namuogopa sana PANYA, sio kwamba namuogopa kwamba ataning'ata, hapana... Namuogopa tuu bila sababu.
Kadhalika, sijawahi kuweza kumuua panya, hata umfunge kamba hlafu unipe fimbo au jiwe nimpige afe, siwezi kabisa, maana mikono ni kama inapata ganzi na kukosa nguvu na sitaki awepo/apite karibu yangu.
Nikifika sehemu hlafu nijue kuna panya, hapo sitokuwa na amani kamwe.
Na hata nimkute amekufa hlafu uniambie nimshike, utakuwa umenipa adhabu kubwa sana nisoiweza.
Karibuni kwenye mada.
Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..

Mm sipnd ata kumuonaHuyu mshenzi kupenda kugusana gusana namchukia sana paka
Una fuga?Wanavopenda kujipendekeza sasa, huwa wananikera sana mimi
Hapo tupo sambambaKinyonga
Na kupendeza kote kule😅😅
Watunzie maini, figo, bandama na utamu wakaufaidi.Funza. Mmmh kila nikifikiria nitakufa nitageuka msosi wao mmmh inauma sana
Ndio nini mkuu, fafanuaXenophobia