Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

Ulishawahi kuingia mziki wa NYUKI wewe. Mimi walishawahi ingia ndani ya gari naendesha na liko Kasi..
Nilikuwa nalia huku nimeshikilia kwa Nguvu usukani, Maumivu yake hayaelezeki. Nahisi Nyoka na nyoka ndo wabaya Sana. Maana ni ngumu kuwakimbia kwa haraka.
 
Aise wakuu mi naogopa sana yule mdudu pale chini Mwenye rangi a blue aise🥺
Screenshot_20250824_222021~2.jpg
 
Inashangaza mpaka sasa hakuna mwanaume aliyemtaja mwanamke kwenye list ya wadudu wa kuwaogopa
 
Ulishawahi kuingia mziki wa NYUKI wewe. Mimi walishawahi ingia ndani ya gari naendesha na liko Kasi..
Nilikuwa nalia huku nimeshikilia kwa Nguvu usukani, Maumivu yake hayaelezeki. Nahisi Nyoka na nyoka ndo wabaya Sana. Maana ni ngumu kuwakimbia kwa haraka.
Aloo umenifanya nimecheka kijinga sana🤣🤣
 
Hili suala sijawahi kujua linatokana na nini, wataalamu watatuambia..

Pale inapotokea unamuogopa tuu mnyama (wanyama wadogo) au mdudu. Yaan ukiulizwa sababu za kumuogopa hata huna jibu lakueleweka bali unamuogopa tuu, hata kama uwe baunsa ila utashangaa unaogopa kajongoo😄

Sasa bana kila mtu atutajie mnyama au mdudu anayemuogopa na sababu za kumuogopa, huenda tukajifunza kitu.

Binafsi namuogopa sana PANYA, sio kwamba namuogopa kwamba ataning'ata, hapana... Namuogopa tuu bila sababu.
Kadhalika, sijawahi kuweza kumuua panya, hata umfunge kamba hlafu unipe fimbo au jiwe nimpige afe, siwezi kabisa, maana mikono ni kama inapata ganzi na kukosa nguvu na sitaki awepo/apite karibu yangu.

Nikifika sehemu hlafu nijue kuna panya, hapo sitokuwa na amani kamwe.
Na hata nimkute amekufa hlafu uniambie nimshike, utakuwa umenipa adhabu kubwa sana nisoiweza.

Karibuni kwenye mada.
Ukiogopa jongoo na panya una kuwa na dalili za ukichaaa inamana ww unaogopa hata mbuzi nilitegemea uogope mdudu kama NYOKA
 
Haitokei kwa kupenda, bali inatokea tuu mwili unakataana na mdudu husika, hata ujiforce kwa kujivika ujasiri huwezi, halafu mara nyingi haitokei kumuogopa kwasababu atakudhuru, bali unamuogopa tuu bila kujua.

Wanyama kama nyoka, nge, n.k hao kila mmoja anawaogopa kwasababu wanadhuru, ila kuna yule ambaye unamuogopa sio kwasababu anakudhuru.
 
Si ndio nakwambia Kuna kitu kinapungua kichwani mwako kwahiyo ukiambiwa siku za mwisho Kuna moto si ndio unadata kabisa mixer maombi kukesha
 
Xenophobia
 
Nyoka sio mdudu, pia una dalili za ukilema wa akili kwani ulisikia wapi nyoka ni mdudu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom