Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

Mkuu kisandu, ofisi yako hii hapa come 2015:

attachment.php
 
Juzi tu moja hivi nimepishana na chizi mmoja anadai anautafuta urais mpaka ataupata ikija kufika 2015
 
Hao ndo zao kutukana watu wa low classes as if wao sio watanzania...mazafanta kabisa hao...

Nafikiri alishawahi kuwa rais wa serikali ya wanafunzi SEKUCO,basi anfikiri ataweza kama alivyoongoza huko.

Anyway,hakuna mtu yeyoye mwenye picha yake hasa inayoonesha vyema sehemu ya kichwani kwani tunaweza mgundua mtu mwenye matatizo ya akili kwa kuangalia namna kichwa kilivyo.


..............
 
Kama alivyotangulia kusema kuwa Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima atagombea. Kwa kuwa ni haki yake kikatiba, basi mwacheni aingie kwenye mchakato ila najua atakuwa anawasindikiza wenzake kuelekea Ikulu. Hakuna show inayokosa wasindikizaji jamani
 
kwani kuna mtu kakuzuia kutumia haki yako hiyo ya kiraia?gombea ila watanzania ndio tutaamua nani tumpe kura zetu na nani tumtose
 
Hatuwezi kuwa na Rais asiyeweza kusimamia kile anachokiamini....mbona unaogopa kuwa muwazi utagombea kwa chama gani maana katiba ya sasa haina mgombea binafsi.
 
[h=5]Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.[/h]

Deo ukigombea urais wa nchi hii nakuhakikishia kwamba mimi erythrocyte nitagombea urais wa FIFA ! hivi ni nani amefanya urais wa nchi hii kuwa ndiyo kazi rahisi sana kuiomba kuliko hata kufagia barabara ?
 
ni haki ya kikatiba kugombea na vizuri kuwa kwenye kumbukumbu kwamba uliwahi kuwania cheo cha juu kabisa cha uongozi wa nchi 2015.

Sikukatishi tamaa lakini unaweza kuwa kwenye record ya TOP failures kwa kupata kura zisizozidi 4, yaani yako, ya mkeo kama unae na wazazi wako wawili kama bado wapo hai.

nakutakia maandalizi mema Mr. President.

ata mke wake hawezi kumpa.
 
Jipigie kura mwenyewe huna hata kauli, huna hoja unaropoka tu.... kama ni Tanzania ya mwaka 1900 utapa nenda kaongeze kiroba ili uzidi kuendelea kuota ndoto za mfalme juha....
 
Sawa ni haki yako,

Sasa tunakupaje URAIS mtu ambae unajipambanua kuwa ni dume la shoka ili hali unazungumza maneno ya wale wanaovaa SHANGA KIUNONI??

AU UNATAKA UKISHACHUKUA NCHI UTULETEE MAMBO YA U-DAVID CAMEROON NIN??

UMEVURUGWA SANA NDUG YANGU
 
Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.
....Mheshimiwa Rais Mtarajiwa..... Deogratius Kisandu ....... tayari umepata kura yangu moja ..... kama ni kwa sababu hiyo nyekundu ndiyo inayokusukuma kugombea..... ni ya maana sana....hasa kwa maendeleo/ mageuzi ya nchi yetu......................
 
Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.
Kwani nani kakuzuia? Kwanza urais wenyewe wakati huu ni kazi rahisi sana ambayo hata mtoto wa darasa la saba anaweza kuifanya.Urais mgumu ni ule alioushika Nyerere. Maana yule ndiye aliyefanya kazi ya kujenga utaifa, kusomesha watu bure, kutoa tiba bure, kujenga viwanda kila kona, kuanzisha mashirika ya umma, kuinua kilimo, kuimarisha uchumi, kujenga heshima ya nchi kimataifa nk na usafiri wake mkubwa ulikuwa Mandolini 109 Sasa hivi rahaaaa! Si umeona waliofuata walifungua mnada mkubwa kunadisha kila alichokiasisi Mwalimu? We ukiupata kazi kubwa ni safari za kuizunguka dunia kuhemea vibaba na kubembea! Marekani kwako ni kama kutoka magogoni kwenda posta mpya. Tena wewe tutakujengea na ikulu ndogo huko!
 
Back
Top Bottom