Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

Uraisi umekuwa urahisi, kama kutongoza Mwanamke kila mvaa Suruali anaona anaweza lakini uzuri mamluki na makuwadi wa siasa wanajulikana!!!!
 
Utagombea Urais wa NCCR mageuzi au wa wapi? Hapo kwenye red hayo maneno ni ya kinamama wa sokoni.

akina mama wa sokoni si ndo wapiga kura wenu CCM au umesahau kuwa manachaguliwaga na wakina mama wa sokoni na vilabuni
 
Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.
ni haki ya kikatiba kugombea na vizuri kuwa kwenye kumbukumbu kwamba uliwahi kuwania cheo cha juu kabisa cha uongozi wa nchi 2015.

Sikukatishi tamaa lakini unaweza kuwa kwenye record ya TOP failures kwa kupata kura zisizozidi 4, yaani yako, ya mkeo kama unae na wazazi wako wawili kama bado wapo hai.

nakutakia maandalizi mema Mr. President.
 
na wewe ni Great Thinker in your own way. Mnajaza wingi wa uzi (threads) with irrelevant contents. Muwe mnadurusu (review) kabla ya kupost basi.
 
[h=5]Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.[/h]

Salia limeibukia NCCR,Zito hafurugi cdm tu anavuruga upinzani wote.c..c Mbatia
 
Wanajamvi!
Deo kaandika kuwa atagombea urais. Nijuavyo mimi urais kama cheo ambacho ni dhamana. Ni haki yake cha msingi tuangalie ni uchaguzi upi unafuata baada ya ule wa TFF. Huenda ukaja wa CHANETA au TWIGA STAR! Muacheni jamani agombee hata huko.
 
pima upepo uone utagombeaje; kama tu kusikia unagombea hata tu kukuunga mkono wanaokujua inakuwa vigumu vp kwa tusiokujua? washawishi kwanza watu uwezo wako kama kiongozi wa nchi wao watakuomba na kukuunga mkono, si kwa kuwaambiwa kama usemavyo
 
Dhamira ni kugombea tu bila malengo ya ushindi? Nadhani bado hujajua ni kitu gani unafanya ndo maana unadhani 'unachongewa'..Lakini kwa mistari hiyo mifupi uliyoandika hufai kabisa na waendelee 'kuchonga' tu..!
 
[h=5]Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.[/h]

ukichaa huanza hivi......pole pole utawehuka mungu akusaidie
 
Bora umejitokeza, ulikuwa umeshasahaulika.
 
Back
Top Bottom