Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

kama jk kawa rais na mipasho yake ile naamini na wewe unaweza kuwa rais maana wabongo sometimes wanapiga kura ova mapoyoyo!!!!!
 
Huyu jamaa kumbe mgonjwa wa akili!
Hivi anadhani hata akigombea nani atakayejishughulisha nae!?
Hawa ndio akina Shibuda! Too much noise zero effect!
 
Kwa chama makini,neno lako 'lazima'ungefukuzwa mara moja.maana ikitokea mwingine akagombea,lazima utaasi chama tu.
 
Ila deo,umefanya la maana kupost huu utumbo wako.walau leo umetupumzisha na vita vya buku saba fc vs makamanda fc.
 
Ndugu yangu, wewe sio MUNGU wala huna mkataba na MUNGU kindly jishushe
 

Urais wa Machangu doa, Vilabu vya Chumbageni, au Urais wa wabuya unga? Bhange zingine muwe mnapima kwa uzito wenu

9k=
 
Keep your dreams alive DEOGRATius kisandu, fikiria watanzania wamekosa nini na utawapaje kile walichokosa na kwa mechanism gani utakayotumia. Unaweza wala usidhani wewe huwezi.
 
Last edited by a moderator:
Pombe mbaya sana maana ikizidi ni sumu
Dr Ndodi saidia mutu yako inaangamia vibaya?
 
Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.

Watu wengine mnatafuta kutukanwa tu, Invisible , Paw , Buchanan and Team JF Mods.
Hebu tuondoleeni hii Mipasho kwenye Jukwaa letu tukufu la Siasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom