Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,399
[h=5]Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.[/h]
 
[h=5]Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.[/h]

Ha ha ha akuchague nani?
Nini sera ya chama chako wewe?
Kumbe na wewe unaota ndoto za rais kama mwenzako.
:Never happen
 
[h=5]Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.[/h]

Hizi ndoto zingine mnazitoa wap? Kisandu kuwa mkweli wewe uliwahi kuona wapi rais dizaini yako ktk ulimwengu huu! Achane utani kwenye mambo za msingi
 
Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.

Una miaka mingapi? Je katiba ya sasa inakuruhusu? na rasimu ya katiba mpya imependekeza umri gani? kama inakuruhusu sawa mkuu...wewe gombea tu...waamuzi ni wananchi
 
Hata mimi nitagombea urais kwenye Chuo chetu. Mtoa taarifa jiandae kupambana na mimi.
 
Ninadhani tatizo linalokusumbua ni inferiority complex kwa sababu kwa mtu mwenye fikra na upeo wa juu atatambua kwamba hakuna mwenye hati miliki ya nchi na ikichukuliwa kuwa kuna ugombea binafsi uko mbioni unakuja Tanzania.

Mapungufu yako yanakufanya ufikirie kama huwezi kugombea and as a result, unafikiri watu wanakupinga kutokana na mapungufu hayo.

Ukiona kifaranga kipo juu ya chungu ujue chini kuna mama yake-Zitto.

By the way, ninadhani labda sijakupata vizuri. Urais gani huyo ambao kuna watu wanadhani wamemiliki?.
 
[h=5]Mtachonga sana lakini 2015 Urais uko palepale, yaani ni lazima nitagombea haina mjadala hii, nchi ni yetu wote hakuna mwenye hatimiliki na nchii hiii.[/h]

Ukifanikiwa kupata nusu ya kura alizopata Dovutwa, mimi nahama nchi! Na hicho chama chenu kweli cha ajabu, yaani mtu unajitangaza tu mimi ndiye nitakayegombea Urais, nao wanasema hewala bwana wewe ndiye mgombea wetu? Kweli una akili ndogo kuliko hata UVCCM!
 
Back
Top Bottom