Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

Mtachonga sana lakini URAIS 2015 lazima nitagombea tu!

===>Kweli huu urais sasa unaonekana kama ubalozi wa nyumba kumi,kazi ipo!
Kweli, mazuzu wanaona ni kama umonita wa darasa. Wanachofikiria wao ni safari za kuizunguka dunia kwani wanaona mwenzao anafaidi.
 
Mkuu kisandu, ofisi yako hii hapa come 2015:

attachment.php
Muwekee na mashangingi ya misafara yake pamoja na ndege yake! Ungemuwekea na picha ya Ikulu ya marekani kuwa ndiko atakakokuwa anakwenda kunywa kahawa na Obama! Sinema ya urais kweli ni kali!
 
Kumbe alianza zamani yanayomfanya atakiwe kuona na wataalamu wa pale milembe
 
Back
Top Bottom