Mtaani jamani pagumu!

Tatizo unataka kazi kubwa ndugu. Mtaani siyo pagumu kiasi hicho kwa mtu usie chagua kazi. Tatizo eti kwa kuwa mtu umesoma accounts unataka kazi lazima uwe accountant shirika fulani kubwa au serikalini.
Hii hata mimi ilinisumbua sana nilipomaliza shule. Ila kwa hali iliyopo sasa ivi pambana sana upate kazi yeyote ile atleast upate kamtaji ka kuanzia tuu au huku unafanya hako ka kazi unatafuta work of your dream. Kwani siyo kila mtu amezaliwa mjasiriamali others were born to be employed.
Kuna kijana mmoja ana degree yake ya accounts alisota sana mtaani kwangu nikawa namwambia babaake amwambie nimpe kazi awe storekeeper kijana akawa anagoma. Alisota mwaka na nusu ila mwezi wa pili alikuja mwenyewe kubembeleza ile kazi na sasa ivi yupo vizuri tuu with peace of mind. Huwezi amini tunampa ka mshahara ka kawaida ila anajutia sana muda aliopoteza mtaani.
So usikate tamaa ndugu yangu
 
Na kusoma kwako ndugu mtoa mada,karibu tulime matikiti uone kama utalalamika hv,usiwaze magari mazuli hata kama unayataka town hiace zipo,usiwaze kuku za kukaanga hata kama unazitaka,dagaa pia zinatosha,lidhika nafsini mwako na pambana kwa bidii kama mtu ambae hana elimu yoyote,uone kama utaendelea kulalamika
 
akya Mungu Kusema ukweli ni mpenzi wa Mungu, Guys mtaani kugum mbaya, yan km upo kazini usjaribu kuchezea kazi, ni kugumu sanaa!

waajir wamefunga milango, ilihali vigezo tunavyo ila ndo hivyo jamani mtaani mpaka mtu unatamani uuze mwili?
mkuu mbona huku kitaani tunakula bata kuanzia weekend mpaka weekend pesa zipo ni wewe tuu
 
jamani mtaani mpaka mtu unatamani uuze mwili.

Usitamani huo mchezo, ni machukizo mbele za Mungu. Muombe Mungu maana yeye ndiye mtoaji wa ajira, atakufanyia wepesi wakati ukufika. usikate tamaa, usitende dhambi, Jipe moyo hayo ni mapito. MUNGU anataka atawajaribu kujua km mnampenda kweli.
 
Haki ya Mungu kusema ukweli ni mpenzi wa Mungu, mtaani kugumu mbaya. Yani kama upo kazini usijaribu kuchezea kazi, ni kugumu sanaa!

Waajiri wamefunga milango, ilhali vigezo tunavyo ila ndo hivyo jamani mtaani mpaka mtu unatamani uuze mwili.
Pole, uza Tu mwili hakuna namna
 
Back
Top Bottom