kwa watu tunaotoka katika working class families tumepitia mambo za tabu kama hizo esp kipindi mtu unamaliza chuo, mie hizo mambo za mabinti kipindi hicho wizara yake niliifunga kabisaaaa...ilifikia kipindi viatu vya kwenda kwenye interview tu ilikuwa taabu sembuze hao wakina mwajuma na rose
ila hayo ni mapito tu itafikia point utasahau kabisa but amin amin nakuambia usichague kazi maana wewe ni mwanaume na at that age you don't need to do any mistakes, all you need to do is whatever gives what you need.