Mtaani jamani pagumu!

Mtaani jamani pagumu!

Jamani walimu wa kike wawili na boys 1 wanahtajika kufundisha medium....wawe morogoro....kama uko poa nichek 0716069884
....acha kudhalilisha taaluma wewe!..
..au unataka kupiga watu cheusi-chekundu!
 
Watu wanalalamika mtaaani pagumu wakati kazi zenyee hawawezi kuomba kwa kifupi kusoma sana na kupata kazi ni vitu viwili tofauti.maana kutafuta kazi kunahitaji skills sio unakurupuka CV inapiga sarakasi cover letter ndo inacheza sindimba kabisa,,,,,,
Sindimba
 
Kama umefikia hapa ni hatari sana

Mkuu, atauza sehem gani na bei gani itakayo muwezesha kuishi bila jasho?? Ama kweli, ubishoo hatari sana. Kila kona kuna njia ya kutokea lakini watu wanajidanganya na elim ya karatasi??
Nenda kijiji utafuga hata kuku wa kienyeji akitaga yai moja tu ni pesa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom