Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nilienda kutafuta hela ya ile vogue yako.....
haaaaaa babe hapo kwenye vogue badilisha weka BMW... halafu mwambie king'ast mi sitaki ferrari bana
Last edited by a moderator:
Nilienda kutafuta hela ya ile vogue yako.....
Baby whats up? nisamehe nilipotea kwa muda....
Nina imani wewe umenisubiri mpaka nimerudi....
cool!!!
Haya niambie ulipotelea wapi... Umeniudhi ujuee!!!!
Nimeshabadili mama watoto... King'asti mzoee tu...kawaida yake
haaaaa!!pacha usiniambie
kua na huyu ulimchuna mpaka ngozi
ndio maana alipotea ghafla baada ya kuishiwa!!!!?????
hongera sana.
Ni ile ya kusema @Arushaone I love siyo ingine.
Arushaone i love you!!!!!!!
Vin Diesel i need you!
Wakati unaniumiza moyo wangu.....napata shaka sana ujue
Mapenzi mema.