Mzee mwenzangu kulikoni kunizushia...?Siku hizi mwaJ ni kapo ya Mtambuzi?
Cc aione mzee wa kugecha Mwita Maranya.......anza kunoa panga nitakuelekeza gesti walikolala mkuu.
naomba niulize je Kukucheka imoh haaaa....
mwenyewe nitajicheka kwanza kabla ya hao mabest hawajanicheka, lol!
Haaa unaruka nini kwani. Bishanga????
kwani kuna siri gani...?Sijaona bahasha yako ya maombi hapa lakini
Unataka tuvujishe siri tena hapa ubaoni.
Utakataa nini kumwita Arushaone sukari ya wanawake au pa sukari pawe asali?
Relax iko njema.
Vin Diesel????? Mamndenyi sikuhizi unamakengeza au... Inamaana humjui Arushaone? Au unania ya kuniharibia tu?
haya karibu sana ingawa wakezo
wote washatwaliwa na wajanja
Baby whats up? nisamehe nilipotea kwa muda....
cool!!!
Haya niambie ulipotelea wapi... Umeniudhi ujuee!!!!
Nilienda kutafuta hela ya ile vogue yako.....
Vogue ishapitwa na wakati wewe. Hebu ondoa aibu hapa. Ferrari ndo habari ya mujini