shem wanawake wabaya sana hao, wasione mume wa mtu katulia basi wao wanaanza kumtegatega
Siku hizi mwaJ ni kapo ya Mtambuzi?
Cc aione mzee wa kugecha Mwita Maranya.......anza kunoa panga nitakuelekeza gesti walikolala mkuu.
Im back my dear...happy to see u too...
Mapaparazi wote wataingia bila kamera kama walivyofanya kwenye ile harusi ya yule mwana muziki .binti machozi....
Mabwana na Mabibi,
Assalamu alaikum ......
Wikiendi ndo imeanza;
Leo mie Mamndenyi nina mtoko wa maana (Msiulize ninatoka na nani).
Kwa maneno mepesi sana ninahitaji mtaalam wa kupaka paka na kuremba remba
kwa lugha ya kwetu anajulikana kama " professional makeup artists";
Tafadhali bandika uzoefu na mawasiliano yako hapa usisahau kuweka bei zako malipo ni kwa dola ya kimarekeni;
Muhimu:
Haijalishi kama uko huko juu aliko chama au Mzee Mwanakijiji
au uko tandale aliko Madame B au mbagala aliko Kongosho
hata kama uko mkoa aliko Arushaone, marejesho, Erickb52 au uko chimbo aliko Vin Diesel na AmKATRINA, au town senta aliko Mtambuzi na wake zake akina mwaJ; amu na wengineo kibao;
Au uko manzese aliko sosoliso na mkewe Paloma; hata kama upo kusikojulikana kama @C6, Rejao, Slave na wengineo wengi pia karibuni.
Hii haitamhusu sana kiwatengu, Bujibuji, ladydoctor (wivu), Mr Rocky.
Ndege ipo tayari kwa ajili ya kuja kukuchukua na kukurudisha; rubani wangu Mwita Maranya anasubiri pale kwa Pdidy.
Wale wasichana warembo kama akina Heaven on earth na mrembo anayelia lia ladyfurahia, mimisa mke/wake za Bishanga mnaweza kusogea ili kupata mautaalam pia.
Karibu mwisho wa usaili ni leo saa tisa alasiri.
pacha we waaalaa usihofu Arushaone nimemuweka kiganjani... Hizo ni mbio za zakafuni tu
atakuwa ni wii wangu Heaven on earth huyo pacha sio mimi, mimi si uliniita nikutengeneze nywele? Au umesahau?
bila kuwawekea tego nyiesiku izi una viparticle vya kishirikina? duh
oooraitaaaaa!!ngoja niandae kasimu
kangu maana sina kamera mie!!
Umeongea kwa nguvu mpaka ukanishtua nikidhani ni jamaa yangu DJ Afro!!!
Mzee Bishanga nitake radhi! Yaani unadanganyika na maneno ya uongo ya Mamndenyi!!! Mie mbona nipo nyumbani nimetulia na mume wangu Mwita Maranya? Hebu acheni uchonganishi jamani. Mie huyo Mtambuzi namsikia tu akitajwatajwa na visichana vya mjini. Sijawahi hata kumwona!Siku hizi mwaJ ni kapo ya Mtambuzi?
Cc aione mzee wa kugecha Mwita Maranya.......anza kunoa panga nitakuelekeza gesti walikolala mkuu.
ndio ukaniletea less wig na kope
haya bana naona unamtetea mumeo hahaa!!
ila kinga ni bora kuliko tiba pacha!!
Nitaomba kibali kwa Madame B ndo mke mkubwa wewe ni dogo sana.
hahahaa!!kwani mke wake
ni yupi hasa maana mi najua pacha
wangu Lady doctor ndio mwenye mamlaka
juu ya Arushaone aka sukari ya warembo wa jf!!shemejiiii!!
Mzee Bishanga nitake radhi! Yaani unadanganyika na maneno ya uongo ya Mamndenyi!!! Mie mbona nipo nyumbani nimetulia na mume wangu Mwita Maranya? Hebu acheni uchonganishi jamani. Mie huyo Mtambuzi namsikia tu akitajwatajwa na visichana vya mjini. Sijawahi hata kumwona!