......... Mtaalam wa make-up anahitajika

Ha ha haaaa
Ulitaka iwe siri kwanini usisemee room.

Mamndenyi kwani kuna siri gani jamani.....? Mtoto wa watu nimetulia hivyo halafu mwantafuta maneno.... Nasema sitaki mnifuatilie maisha yangu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mwaJ kipindi haupo kuna kazawadi nilikuletea sikukukuta, Mwita Maranya alikupa au alichikichia?:confused2:
Wala sishangai msiri wangu Kaizer, siku hizi Mwita Maranya kabadilika sana baada ya ushamba wa Tarime kumtoka hashikiki! Kutwa yupo mitaa ya love connect anakodoa mimacho kama kobe! Hiyo zawadi sijui imepelekwa mtaa gani! Nyumbani haonekani kaniacha na watoto.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa....... Ntakuchapaaa, muone kwanza!!!!!! Hayo ndio madhara ya kutumia dozi then waenda kulewa unafikiri dawa itafanya kazi????


Mayweather katoka kumchapa mtu...sogea kipande hii na mie nikurushie jabs zangu...
Jana sijakusikia kabisa,ulikuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…