Waziri wa Maji Jumaa Aweso, watu wa Tabora tunateseka; maji hayatoki mabombani kwa takribani siku 10 sasa

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Straight to the point:-

Kabla Mama SAMIA hajawasili Mkoa wa Tabora kwà ziara ya siku kadhaa....maji yalikua yanatoka vizuri sana mpaka raha.

Baada ya ziara ya Mama kuisha, maji nayo yakaisha. Now Mkoani hapa kuna uhaba wa Maji mkubwa sana. Maji hayatoki mabombani kwà takribani 10 days sasa.

Asee Jumaa Aweso, ebu tufanyie hisani bhana! Mnatesa sana watu wa Tabora!

Note: Za chini ya kapeti nilizozipata kutoka kwà mtumishi wa TUWASA...maji yaweza kukosekana Tabora kwà zaidi ya wiki mbili zijazo!
View attachment 2793484
 
Hawa watu wanamchezea huyu mama, kafanya ziara Arusha watu hawajakata umeme wiki nzima, siku anaondoka jioni wakaanza tena upuuzi wao

Ila acha akome, wananchi wakitaka kuongea nae si anajifanya ''oohh, sijui pitieni kwa viongozi wenu kabla hamjanifikia Mimi"

Hao viongozi wanampotosha hawamwambii Hali halisi, Bora hata kwenye ziara angesikiliza kero kama mtangulizi wake

Ujinga ujinga mwingi sana
 
Maji ni Uhai. Bora wakate umeme tu
 
Back
Top Bottom