Msuya atueleze aliko Sokoine

Msuya atueleze aliko Sokoine

Nonsense!!!

Yaani jamaa kaandika bonge la upuuzi. Ila sishangai sana kwani viongozi wengi walio serekalini ambao ni above 50 wengi ni washirikina balaa, na hapo haijalishi wasomi au ambao hawakusoma. Wengi ni washirikina na ndio maana huoni mwenye mtazamo wa maendeleo chanya bali ni hila, majungu na upuuzi mwingine kama huo. Unakumbuka ule upuuzi wa Chenge kumwaga dawa bungeni?
 
Wapuuzi sana washirikina!
Sasa leo Chenge mbona anakamatika kiulaini na escrow!0
 
KAWAWA NDIYE MUUAJI WA SOKOINE, AULIZWE HUKO JEHANAMU : Ukweli uliopo na unaofamika kwa maafisa wengi wa serikali wa kipindi hicho ambao umefichwa ni kwamba Kawawa ndiye aliye muua Sokoine, baada ya mwl kutangaza kwamba ataondoka madarakani mwaka huo 1984 , wakati huo Sokoine akiwa waziri mkuu na Kawawa alikuwa makamu wa raisi kulikuwa na kila dalili za mwl kutaka kumwachia kiti cha uraisi Sokoine . Hapo ndipo Kawawa alipoamua kumtoa mwenzake uhai kwa kutumia matunguli aliyoenda kuyachukua Lindi ( kilwa/ Liwale), akidhani kwa kufanya hivyo nchi ataachiwa yeye. Wakati kikao cha bunge kinakaribia kwisha wiki ya mwisho Kawawa alimwomba ruhusa mwl ya kwenda kwao Lindi akisingizia amepata udhuru kumbe alikuwa anaenda kwa waganga wake. Wafuatiliaji wa mambo wakifuatilia wiki ambayo Sokoine alikufa Kawawa alikuwa Lindi waangalie hata data za iliyokuwa ofisi yake. Na siku ambayo sokoine anapata ajali Kawawa alikuwa njiani kutoka Lindi kuja dar. Alifanya hivyo hasa kwa maelekezo ya waganga wake. Waganga wake walimwelekeza kawawa asafiri siku hiyo ambayo bunge lilikuwa linaisha na dereva wa kawawa aliambiwa kwamba akiona bata njiani amgonge na walipoanza safari hawakutembea umbali mrefu sana wakakutana na bata na dereva akafanya kama alivyoelekezwa , muda ule ule ambao bata anagongwa na muda huo huo ndio ambao sokoine anapata ajali . Mwl alifahamu mchezo huo baada ya kuambiwa na wazee mchezo mzima na hicho ndicho kilichomfanya mwl amwogope zaidi kawawa ndio maana mwl aliruhusu aliyekuwa dereva wa Sokoine kutosumbuliwa mahakamani. Aliyekuwa dereva wa Kawawa alikuwa na siri nyingi zilizokuwa zinahusu kifo cha Sokoine pamoja na safari nzima ya Kawawa kwenda liwale , na taarifa zinasema kwamba dereva hakufanikiwa kumkanyaga tairi bata hivyo huyo hakufa palepale walisimamisha gari na kumuingiza bata ndani ya gari , kilichoendelea huko anakijua yeye kawawa na ifahamike kwamba Sokoine hakufia eneo la ajali ni mazingaombwe tu ya kawawa yaliyoendelea baada ya hiyo ajali na ndiyo maana kikao cha bunge kilichofuata baada ya ajali wapo wabunge waliodai wamemuona Sokoine jioni viunga vya bunge , ulikuwa mzimu tu. huo mchezo uliendelea hadi watani wa kawawa walipomweleza ukweli haache mchezo huo. Elimu dunia ndiyo inayowamaliza wanasiasa wengi. Kumbuka tukio la Akukwete kupata ajari ambapo shehe mmoja wa Tunduru aliahidi wakati wa kampeni kwamba akipita Akukwete atachoma vitabu vyake vya ushehe moto, na mara akukwete akashinda na watu walipomfuata shekhe huyo achome vitabu vyake alikataa lakini baada ya kupita kama miwili mbele ghafula tu asubuhi huyo shekhe aliita watu na kuwaambia kwamba anatekeleza ahadi ambayo aliahidi akachoma vitabu vyake moto vyote, watu walishangaa kwani ilish apita miaka miwili tangu aahidi ahadi yake lakini kilichowashangaza wengi ni mfuatano wa matukio asubuhi shekhe anachoma vitabu moto jioni inatangazwa akukwete kapata ajari ambayo ilipelekea kifo chake. Hicho ndicho kinachofanya watu wasiwaamini wanasiasa lakini wanasiasa wenyewe kwa wenyewe wasiaminiane .

Umeandika ujinga mtupu japo ni mawazo yako. Lingine jifunze IMLA
 
kweli watu wa nchi hii hawana kazi mara kawawa mara msuya mara nyerere.hiv sokoine asingeweza kufa bila ya hawa?
 
mkuu alipewa ili iweje?.... maana ya chacha wangwe tunaaza kuamini sasa una leta na hili tunaona kumbe ni siasa tu na propaganda, nijuwavyo Mbowe angechukuwa mgao wa Escrow wasingekuwa na guts za kuwaita wahusika wakuu Wezi mbele ya Bunge na umma kwa ujumla na wao wakanyamaza.

Pale bungeni walikuwa wanazuga na kuwahadaa watu tu, Nchi hii kila kona ni kupiga kisha kujikausha.
 
cjawah kumuona sokoine enzi za uhai wake, nimezisikia sifa zake tena kutoka kwa mzazi wangu,alikuwa kiongoz shupavu! namfahamu wangwe, alikuwa mwanasiasa mahiri,nasikitika kwa vifo vyao! LAKINI NASIKITIKA ZAIDI KUONA KUNA WATU MLIKUWA NA TAARIFA ZA SABABU ZA VIFO VYAO NA MKAKA KIMYA BILA KUZIPELEKA SEHEMU HUSIKA, NYINYI NI WANAFIKI{SAMAHANI} NA NI MAADUI WA HAKI, LEO MNAKUJA ETI MNALALAMA?

Sehemu husika wanajua sana lakini kumbuka Rushwa ni Adui wa haki.
 
Tunapokaribia kuadhimisha miaka 31 tangu kilipotokea kifo kilichojaa utata cha aliyekuwa Waziri Mkuu Ndg.Edward Moringe Sokoine,ni wakati mwafaka sasa kumhoji Mh.Cleopa Msuya juu ya tuhuma za kuhusishwa na kifo cha Mh. Sokoine;kwa sababu Mh. Msuya kwa siku za karibuni amejitokeza kukemea maovu mbalimbali yanayofanywa na viongozi wa CCM bila shaka pia atakuwa na ujasiri wa kujitokeza na kutolea ufafanuzi wa tuhuma hizi.

Acha ukanjanja wako.kifo cha Sokoine kina nini kisichofamika pamoja na kwamba kifo chochot kinasikitisha sana.
 
huu uzi sasa umeoza na unanuka kadir mjadala wa wafu unaendelea
 
Stata Mzuka acha hadithi za paukwa pakawa. Dumisani Dube alipomaliza kifungo aliihojiwa na Daily News ilimnukuu akijitetea kuwa Dereva wa Sokoine alimpelekea ile Benzi ili aigonge. In short Dereva wa Sokoine alilazimisha ile ajali. Wiki hiyo hiyo Dumisani Dube alipewa Persona Non Grata (PI) na kurudshwa SA. Ukweli anao Prof Shaba kuwa Sokoine aliuliwa na Bodygaurd wake kwa risasi kisha wakaframe ile ajali. Imrani Kombe (RIP) alimbadilishia Sokoine mlinzi baada ya kikao kuisha Dodoma. Msuya; Kawawa; Alifred Tandau (RIP)pamoja na Kombe ndiyo wahusika wa kifo cha Sokoine. Kombe naye alipigwa risasi mbele ya mkewe eti polisi wakidai walimfananisha na mwizi wa magari "Mr. White". Mwosha huoshwa. Cleopa David Msuya wenzako wameshatangulia kwenye kiti cha HUKUMU hebu jitetee hapa jamvini.
 
Nadhani kauli ya msuya imewagusa wapambe Fulani kiasi kwamba leo wanakumbuka tuhuma zake...yaani bongo bana usiseme kitu..
 
Stata Mzuka acha hadithi za paukwa pakawa. Dumisani Dube alipomaliza kifungo aliihojiwa na Daily News ilimnukuu akijitetea kuwa Dereva wa Sokoine alimpelekea ile Benzi ili aigonge. In short Dereva wa Sokoine alilazimisha ile ajali. Wiki hiyo hiyo Dumisani Dube alipewa Persona Non Grata (PI) na kurudshwa SA. Ukweli anao Prof Shaba kuwa Sokoine aliuliwa na Bodygaurd wake kwa risasi kisha wakaframe ile ajali. Imrani Kombe (RIP) alimbadilishia Sokoine mlinzi baada ya kikao kuisha Dodoma. Msuya; Kawawa; Alifred Tandau (RIP)pamoja na Kombe ndiyo wahusika wa kifo cha Sokoine. Kombe naye alipigwa risasi mbele ya mkewe eti polisi wakidai walimfananisha na mwizi wa magari "Mr. White". Mwosha huoshwa. Cleopa David Msuya wenzako wameshatangulia kwenye kiti cha HUKUMU hebu jitetee hapa jamvini.

Du!Mkuu unaweza kutukumbusha hivi mbali na Sokoine dereva wake na mlinzi wake hawakutoka hata vi jeraha kidogo ajalini?Alfred Tandau alikuwa na nafasi gani serikalini wakati huo?
 
Msuya hana pa kujificha juu ya Kifo cha Sokoine, sasa watanzania wameamka hawajalala ukijipendekeza wanakupa na kukusomea Madhambi yako yooote!
 
Du!Mkuu unaweza kutukumbusha hivi mbali na Sokoine dereva wake na mlinzi wake hawakutoka hata vi jeraha kidogo ajalini?Alfred Tandau alikuwa na nafasi gani serikalini wakati huo?

Hii muvi ni kama ile ya chacha wangwe tofauti ni kuwa Wauaji walikuwa watu wa Serikali pia Ajali ilikuwa mchana kweupe, Ajali ya Chacha wangwe ilitengenezwa kwenye Giza na Wauaji woote ni Ukoo mbowe, yaani Mnyika akisimama kama Mratibu na Lema na kileo Watekelezaji na Deus Mallya alicheza sehemu Nyingi yaani ni kama muongozaji muvi.huku Mrema wa bungeni akiwa kama msaidizi wa Mnyika. R.I.P chacha Wangwe na Sokoine.
 
Bila kusahau Mengi ambaye alifadhili show yote.
 
Back
Top Bottom