Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,581
Waziri Mkuu mstaafu Cleopa David Msuya, ameipa live serikali ya Jakaya Kikwete kua, kama itashindwa kuyakabili matatizo ya Umeme na ajira kwa vijana basi siku si nyingi Nchii hii itakua kama Libya ama Tunisia
Msuya aliyasema hayo leo asubuhi wakati wa mjadala wa kitaifa uliondaliwa na taasisi ya sekta binafsi Tanzania.
"Its a shame for a 50 years old country kukosa umeme.. kama serikali itashindwa kutimiza matakwa yake basi siku si nyingi Tanzania itakua kama Tunisia."
Msuya aliyasema hayo huku akishuhudiwa na William Ngeleja, Mary Nagu, Friedrick Sumaye, zitto kabwe na baadhi ya wanaharakati na wadau kadhaa wa taasisi hiyo.
"only 14% enjoys the umeme, the rest wote wako vijijini..ni aibu kwa serikali..as a country we are sorounded by 8 countries, tunazitendea haki kweli? are serving them properly? the government must take advantage of everything and generate economic returns to its people" alimalizia Msuya na kushangiliwa kupita kiasi.
Source: Mimi mwenyewe!