Msuya aionya serikali ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msuya aionya serikali ya JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Adrian Stepp, Sep 20, 2011.

 1. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #1
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Waziri Mkuu mstaafu Cleopa David Msuya, ameipa live serikali ya Jakaya Kikwete kua, kama itashindwa kuyakabili matatizo ya Umeme na ajira kwa vijana basi siku si nyingi Nchii hii itakua kama Libya ama Tunisia

  Msuya aliyasema hayo leo asubuhi wakati wa mjadala wa kitaifa uliondaliwa na taasisi ya sekta binafsi Tanzania.

  "Its a shame for a 50 years old country kukosa umeme.. kama serikali itashindwa kutimiza matakwa yake basi siku si nyingi Tanzania itakua kama Tunisia."

  Msuya aliyasema hayo huku akishuhudiwa na William Ngeleja, Mary Nagu, Friedrick Sumaye, zitto kabwe na baadhi ya wanaharakati na wadau kadhaa wa taasisi hiyo.

  "only 14% enjoys the umeme, the rest wote wako vijijini..ni aibu kwa serikali..as a country we are sorounded by 8 countries, tunazitendea haki kweli? are serving them properly? the government must take advantage of everything and generate economic returns to its people" alimalizia Msuya na kushangiliwa kupita kiasi.


  Source: Mimi mwenyewe!
   
 2. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm will never perish
  msuya amezeeka hana upeo
   
 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ccm na serikali zake inajitahdi kutatua matatizo ya wananchi wa nchi hii ikiwemo hayo yalioainishwa na kabla a 2015 mambo ya akuwa historia
   
 4. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii, no beating round the bush!!!
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,832
  Likes Received: 10,153
  Trophy Points: 280
  saaaafi sana ila sasa kama ilikua tangu asubuhi mbona umechelewa kuiweka jamani hadi jioni hii.
   
 6. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa unatafakari kwanza ama umetunga?Tumechoshwa na mengi sana kwenye hii nchi.
   
 7. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CCM must go now
   
 8. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #8
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280


  Ngosha alichukua umeme wake
   
 9. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ccm wanaona wakisha tupwa nje
   
 10. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #10
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  mimi sio shigongo anaesema "kulikua na binti mrembo mzuri mwenye shingo ya twiga..lakini wazazi wake walipofariki shingo yake ikawa ya uvugu vugu..sija tunga!
   
 11. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  big up...msuya..! Ila hamia cdm
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Sep 20, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  jamaa yuko busy na safari za kwenda kujitafutia suti ughaibuni , hayo wala hayasikii na wala hataki kusikia
   
 13. m

  mkweli1961 Senior Member

  #13
  Sep 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 148
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  MBONA HUYU MZEE HAJAELEZA KITU GANI KIFANYIKE. ANATAKIWA AELEZE yeye angekuwa raisi kipindi hiki angefanya nini.Huyu si miongoni wa wale wanaopata pensheni kubwa kuliko. Hana jipya.
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  A very constructive criticism. It is infact a challenge
   
 15. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli msuya amekosea sana kutoa hiyo kauli kwa sababu kwa yeye kuwa waziri mkuu katika moja ya tawala za nchi hii ni wazi kwamba hawezi kutenganishwa na matatizo lukuki yanoikumba nchi yetu tangu mwaka 1961.

  Alipaswa yeye binafsi akiri makosa yake aliyotenda wakati akiwa mtawala then atuombe radhi, baada ya hapo ndio akituhumu na chama chake na serikali ya JK. Vingenevyo atakuwa amekengeuka.
   
 16. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #16
  Sep 20, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Huyu mzee anadhani tumesahau mambo yalipokuwa magumu akiwa waziri mkuu miaka ya '80 aliwaambia watanzania kila mtu atabeba mzigo wake?
   
 17. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Huyu babu amesoma alama za nyakati...naye alikuwa waziri mkuu japo sina kumbukumbu za maamuzi yake...is a time now to think of making CHANGES...
   
 18. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Sasa kama hana upeo ni kwa nini Magamba huwa mnamuita kumuomba USHAURI? Msuya hajaomba kutoa ushauri kwa serikali na CCM bali serikali na CCM ndiyo huwa wanamfuata.
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  kumbe ndio maana Rev Fr Masanilo humpendi..
   
 20. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unajua huko kwenu kisiwani kama jina lako lilivyo hamtegemei kupata umeme. lakini all in all gesi inatoka lindi inasafirishwa mpaka dar kwa mabomba ndio ifue umeme.Wakati huo mikoa jirani na lindi pamoja na lindi yenyewe hawana umeme! ni akili au matope hayo.Ni gharama kiasi gani zimetumika kujenga bomba na tungeokoa kiasi gani kama gesi hiyo ingezalishia umeme huko huko lindi. siku nyingine usifikiri kwa kutumia masaburi peleka fikra kichwani kwanza. SHAME ON YOU.MUHESHIMU SANA HUYU MZEE AU HUKUONA VASCO DA GAMA AKIMUITA AWAPELEKE KITCHENPARTY MAWAZIRI WAKE!
   
Loading...