Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,888
- 32,291
Kuna taratibu za kufuata sasa wewe unadhani serikali itakubali kupelekeshwa na hao wanafunzi?
Lord have mercy on us. Una uhakika wamepata mikopo vijana hawa?
Kuna taratibu za kufuata sasa wewe unadhani serikali itakubali kupelekeshwa na hao wanafunzi?
Lord have mercy on us. Una uhakika wamepata mikopo vijana hawa?
yaani wewe hauna hata 'kicheche' wa kujipozea mpaka usubiri
mgomo wa wanafunzi ndiyo upate bahati yakushika chuchu za wanafunzi... duh... kumbe ukame ndiyo huwa unawafanya ffu kuwa energized kiasi kile wanapowashughulikia wanafunzi!!
nimewakuta udsm karibu na crdb,geti maji,geti dogo la ardhi.namna wamekaa mkao wa kula...jk nchi itakushinda,hii sumu ya ubabe itakutafuna.
Kuna taratibu za kufuata sasa wewe unadhani serikali itakubali kupelekeshwa na hao wanafunzi?
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
Serkali hii haipelekeshwi na wanafunzi, inapelekeshwa na uwezo wake mdogo wa kuongoza. Mishahara/posho hailipwi hadi wahusika wagome?? Haya matatizo yote yanaletwa na watu wanaong'ang'ania nafasi za uongozi wasizoziweza kwenye hali ya kawaida mtu anaposhindwa anaacha ili kuinusuru jamii na yeye mwenyewe. Hii hali siyo nzuri kwa mkulu mwenyewe (stress, mawazo, na kutokujiamini) na kwa wananchi ( hali mbaya ya maisha, ukosefu wa ajira, kudhurumiana na kuibiana ili mradi kila mtu ainusuru familia yake nk)Kuna taratibu za kufuata sasa wewe unadhani serikali itakubali kupelekeshwa na hao wanafunzi?
Wewe dogo! To every child his own neck ornament...
Ha! Ha! Ha! Ha!