Msumbiji: Rais Felipe Nyusi amfukuza kazi Waziri Mkuu, ateua mwingine

John Haramba

JF-Expert Member
Feb 4, 2022
365
1,373
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do Rosário.

Maamuzi hayo ya uteuzi yameenda pamoja na uteuzi mpya wa mawaziri kadhaa akiwemo Waziri wa Fedha ambaye alifukuzwa kazi pamoja na wenzake wengine watano.

Ernesto Max Tonela ameteuliwa kuwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Carlos Zacarias ameteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na Madini.
Wengine walioteuliwa ni katika nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi pamoja na Waziri wa Biashara.

Juzi Jumatano, Machi 2, 2022, Rais Nyusi alifukuza kazi mawaziri sita bila kutaja sababu.

Hii ni mara ya pili kwa Rais Nyusi kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri katika miezi ya hivi karibuni.

Mwezi Novemba, 2021, Rais Nyusi aliwafuta kazi Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya Ndani kisha kujaza nafasi zao.

Source: Reuters

==============================================================

MAPUTO (Reuters) - Mozambique President Filipe Nyusi on Thursday appointed Adriano Afonso Maleiane as the new prime minister, shortly after sacking Carlos Agostinho do Rosário, and filled several other posts including finance minister as part of a cabinet reshuffle.

A Portuguese-language presidency statement named Ernesto Max Tonela as the Minister of Economy and Finance, and Carlos Zacarias, currently chairman of the National Petroleum Instituto (INP) responsible for licensing oil and gas projects, as Mineral Resources and Energy Minister.

The other new appointments were Deputy Minister of Economy and Finance and Minister of Industry and trade.

Nyusi also shifted Lidia Cardoso from Deputy Minister of Health to Minister of Sea, Inland Waters and Fisheries.

On Wednesday, Nyusi fired six ministers, without giving a reason, in what was seen as a major cabinet reshuffle.

Rais Filipe Nyusi.jpg
 
HUU NI U-DICTATOR
Labda wapiga deal, shida afrika wapiga deal uwa wanafukuzwa wanabaki na ela yao ya deal ndo maana deal haziishi. Mtu anafanya kazi mwaka anapiga deal anapata pesa ambayo hata angefanya kazi miaka 20 asingeipata, sasa unamfukuza na pesa anabaki nayo bila shaka atakaekuja naye atafanya hivyo hivyo.
 
SAHIHI, na ndio moja kati ya matatizo makubwa ya Afrika
 
View attachment 2138165
Mh. Samia ana cha kujifunza humu. Kuna watu ni mawaziri au naibu mawaziri ambao hawana uwezo wa kazi ila tu ushkaji na kuangalia familia watu wanazotokea.
 
Labda wapiga deal, shida afrika wapiga deal uwa wanafukuzwa wanabaki na ela yao ya deal ndo maana deal haziishi. Mtu anafanya kazi mwaka anapiga deal anapata pesa ambayo hata angefanya kazi miaka 20 asingeipata, sasa unamfukuza na pesa anabaki nayo bila shaka atakaekuja naye atafanya hivyo hivyo.
Ilo ndiyo tatizo wafisadi wana achwa matajiri baada ya kupoteza kazi ,big problem
 
Mtu anateuliwa pale bandari ndani ya mwaka anapiga bils kadhaa unamfukuza anabaki na bils we unadhan atakayekuja atafanya nini?
China ndo maana inawanyonga
Ccm ni maviii
 
Ila wakoloni wa Kireno waliharibu sana tamaduni za Waafrika hasa majina. Tazama majina ya Watu kwenye makoloni ya Wareno, wengi wao hawana hata jina moja la asili.
 
Back
Top Bottom