Hatari sana! Operation za Jeshi letu zinaendeleaje huko mkuu?Mkuu Mtwara Vijijini na Tandahimba walishaua na kuchoma moto nyumba.
Kwa macho yangu kuna siku nadrive kutoka Mtwara kwenda Newala nashuka Mlima wa Nanyamba nakutana na wanavijiji wengine kwenye pikipiki na mabegi yao, wengine kwa mguu na wengine kwenye magari wakikimbia kutoka kijijini kwao walikovamiwa usiku wake (Kijiji cha Tandahimba sikikumbuki jina).. Na wao kwa kuwauliza walikiri ndugu zao kuchinjwa na wengine walitekwa.. Hiyo ilikuwa siku moja tu baada ya uchaguzi mkuu..
Hapa ninavyoandika niko moja ya wilaya za Mtwara kwa kazi ya muda kidogo. Bar zinafungwa saa 4 na hauruhusiwi kutembea usiku zaidi ya saa 12 kama huna kitambulisho cha mpiga kura, lakini hauruhusiwi kabisa kutembea juu ya saa 5 usiku na kitakachokukuta usiku huo utasimulia mpaka wajukuu wako.
Acha masihara yako, haya mambo yapo. Na usitake tukutajie mpaka Makanali waliopewa kazi ya kuulinda mpaka wetu kuanzia Kilambo mpaka Nyasa huko..
Halafu nimegundua hujui dini kama wale jamaa...wale wamekuzidi sana so kaa kimya tuuUkisema wanamtaja Allah the same as ISIS .Wewe umewaona wapo hao ISIS wa asili na makao makuu yao yapo wapi hapa duniani ?
Umetusaidia sana kwa taarifa zako.Tunachosema machafuko yanayotokea Msumbiji na miji ya kusini mwa Tanzania hayafanywi na waislamu kwa jina la ISIS.Hapo umesema ulikutana na watu wanaokimbia baada ya uchaguzi mkuu.Hivyo ni matokeo ya uchaguzi mkuu na hawakukwambia kwamba waliofanya matendo hayo ni waislamu.Mkuu Mtwara Vijijini na Tandahimba walishaua na kuchoma moto nyumba.
Kwa macho yangu kuna siku nadrive kutoka Mtwara kwenda Newala nashuka Mlima wa Nanyamba nakutana na wanavijiji wengine kwenye pikipiki na mabegi yao, wengine kwa mguu na wengine kwenye magari wakikimbia kutoka kijijini kwao walikovamiwa usiku wake (Kijiji cha Tandahimba sikikumbuki jina).. Na wao kwa kuwauliza walikiri ndugu zao kuchinjwa na wengine walitekwa.. Hiyo ilikuwa siku moja tu baada ya uchaguzi mkuu..
Hapa ninavyoandika niko moja ya wilaya za Mtwara kwa kazi ya muda kidogo. Bar zinafungwa saa 4 na hauruhusiwi kutembea usiku zaidi ya saa 12 kama huna kitambulisho cha mpiga kura, lakini hauruhusiwi kabisa kutembea juu ya saa 5 usiku na kitakachokukuta usiku huo utasimulia mpaka wajukuu wako.
Acha masihara yako, haya mambo yapo. Na usitake tukutajie mpaka Makanali waliopewa kazi ya kuulinda mpaka wetu kuanzia Kilambo mpaka Nyasa huko..
Mambo sio mabaya.. Ila amani kwa vijiji vya mipakani ndio shughuli pevu.Hatari sana! Operation za Jeshi letu zinaendeleaje huko mkuu?
Daaah mkuu naomba tu niishie hapa. Mimi nipo huku, wewe unapiga hadithi. Sawa mkuu...Umetusaidia sana kwa taarifa zako.Tunachosema machafuko yanayotokea Msumbiji na miji ya kusini mwa Tanzania hayafanywi na waislamu kwa jina la ISIS.Hapo umesema ulikutana na watu wanaokimbia baada ya uchaguzi mkuu.Hivyo ni matokeo ya uchaguzi mkuu na hawakukwambia kwamba waliofanya matendo hayo ni waislamu.
Sawa sawa kabisa.Mambo sio mabaya.. Ila amani kwa vijiji vya mipakani ndio shughuli pevu.
Si wajua wale jamaa ni ambush tu.. Lazima tuingie huko Msumbiji waliko ila la sivyo watasumbua sana
Wale wote ni ISSio kuniuma ila sitaki kuamini vitu vya kijinga.ISIS makao makuu yao yapo wapi na wanatumia njia zipi kupelekeana misaada.Kuamini vitu hewa kama hivyo ndio ujinga wenyewe.
Kwahiyo ukiondoka tz kwenda cabo delgado huwezi kufika kwasikuhizi.?Njoo nikupe nauli uende Cabo Delgado ujeshwaini utupe mrejesho kama hujatatuliwa Malinda wewe.
Watu wanakufa unaleta upumbavu wako.
Kule Zanzibar siku hiyo na ya nyuma yake yalitokea makubwa kuliko hayo uliyoshuhudia huko Mtwara.Jee nako kulikuwa na ISIS.Mkuu Mtwara Vijijini na Tandahimba walishaua na kuchoma moto nyumba.
Kwa macho yangu kuna siku nadrive kutoka Mtwara kwenda Newala nashuka Mlima wa Nanyamba nakutana na wanavijiji wengine kwenye pikipiki na mabegi yao, wengine kwa mguu na wengine kwenye magari wakikimbia kutoka kijijini kwao walikovamiwa usiku wake (Kijiji cha Tandahimba sikikumbuki jina).. Na wao kwa kuwauliza walikiri ndugu zao kuchinjwa na wengine walitekwa.. Hiyo ilikuwa siku moja tu baada ya uchaguzi mkuu..
Hapa ninavyoandika niko moja ya wilaya za Mtwara kwa kazi ya muda kidogo. Bar zinafungwa saa 4 na hauruhusiwi kutembea usiku zaidi ya saa 12 kama huna kitambulisho cha mpiga kura, lakini hauruhusiwi kabisa kutembea juu ya saa 5 usiku na kitakachokukuta usiku huo utasimulia mpaka wajukuu wako.
Acha masihara yako, haya mambo yapo. Na usitake tukutajie mpaka Makanali waliopewa kazi ya kuulinda mpaka wetu kuanzia Kilambo mpaka Nyasa huko..
mkuu funguka wengine tupo kujifunza sio kubishanaDaaah mkuu naomba tu niishie hapa. Mimi nipo huku, wewe unapiga hadithi. Sawa mkuu...
Usitake kujua sana kijana hata huyo FisadiKuu hawezi kujua operation ya kijeshi.Hatari sana! Operation za Jeshi letu zinaendeleaje huko mkuu?
Wewe nimeshakufahamu ni muuza viatu Dar!Uliwaona wapi na umetumia vigezo gani kupima ujuzi wa wanadini wakati wewe mwenyewe ama huna dini au una imani tofauti na dini yangu.
Haileti maana kuwa kila uovu unaotendwa kuhusishwa na Uislamu.Kule Zanzibar siku hiyo na ya nyuma yake yalitokea makubwa kuliko hayo uliyoshuhudia huko Mtwara.Jee nako kulikuwa na ISIS.
Wakenya wameact mara nyingi sana au wametaka nchi yao iwe uwanja wa wasanii.Mpaka leo ilikuwaje kwenye ile mall haijaeleweka.Hatutaki Tanzania iwe na usanii kama ule.Ivi hata mauwaji ya garisa kumbe ile ilikuwa wakenya wana act tu
Kivipi unamaanisha unaposema wametakaWakenya wameact mara nyingi sana au wametaka nchi yao iwe uwanja wa wasanii.Mpaka leo ilikuwaje kwenye ile mall haijaeleweka.Hatutaki Tanzania iwe na usanii kama ule.