Msumbiji hakuna ISIS, ni usanii na dhulma. Ukifuatana nami utajua

Kuna mengine mnapenda kuyafaham lakini itabid muwe wapole tu kulingana na unyeti wa jambo
 
Mkuu Mtwara Vijijini na Tandahimba walishaua na kuchoma moto nyumba.

Kwa macho yangu kuna siku nadrive kutoka Mtwara kwenda Newala nashuka Mlima wa Nanyamba nakutana na wanavijiji wengine kwenye pikipiki na mabegi yao, wengine kwa mguu na wengine kwenye magari wakikimbia kutoka kijijini kwao walikovamiwa usiku wake (Kijiji cha Tandahimba sikikumbuki jina).. Na wao kwa kuwauliza walikiri ndugu zao kuchinjwa na wengine walitekwa.. Hiyo ilikuwa siku moja tu baada ya uchaguzi mkuu..

Hapa ninavyoandika niko moja ya wilaya za Mtwara kwa kazi ya muda kidogo. Bar zinafungwa saa 4 na hauruhusiwi kutembea usiku zaidi ya saa 12 kama huna kitambulisho cha mpiga kura, lakini hauruhusiwi kabisa kutembea juu ya saa 5 usiku na kitakachokukuta usiku huo utasimulia mpaka wajukuu wako.

Acha masihara yako, haya mambo yapo. Na usitake tukutajie mpaka Makanali waliopewa kazi ya kuulinda mpaka wetu kuanzia Kilambo mpaka Nyasa huko..
Hatari sana! Operation za Jeshi letu zinaendeleaje huko mkuu?
 
Ukisema wanamtaja Allah the same as ISIS .Wewe umewaona wapo hao ISIS wa asili na makao makuu yao yapo wapi hapa duniani ?
Halafu nimegundua hujui dini kama wale jamaa...wale wamekuzidi sana so kaa kimya tuu
 
Mkuu Mtwara Vijijini na Tandahimba walishaua na kuchoma moto nyumba.

Kwa macho yangu kuna siku nadrive kutoka Mtwara kwenda Newala nashuka Mlima wa Nanyamba nakutana na wanavijiji wengine kwenye pikipiki na mabegi yao, wengine kwa mguu na wengine kwenye magari wakikimbia kutoka kijijini kwao walikovamiwa usiku wake (Kijiji cha Tandahimba sikikumbuki jina).. Na wao kwa kuwauliza walikiri ndugu zao kuchinjwa na wengine walitekwa.. Hiyo ilikuwa siku moja tu baada ya uchaguzi mkuu..

Hapa ninavyoandika niko moja ya wilaya za Mtwara kwa kazi ya muda kidogo. Bar zinafungwa saa 4 na hauruhusiwi kutembea usiku zaidi ya saa 12 kama huna kitambulisho cha mpiga kura, lakini hauruhusiwi kabisa kutembea juu ya saa 5 usiku na kitakachokukuta usiku huo utasimulia mpaka wajukuu wako.

Acha masihara yako, haya mambo yapo. Na usitake tukutajie mpaka Makanali waliopewa kazi ya kuulinda mpaka wetu kuanzia Kilambo mpaka Nyasa huko..
Umetusaidia sana kwa taarifa zako.Tunachosema machafuko yanayotokea Msumbiji na miji ya kusini mwa Tanzania hayafanywi na waislamu kwa jina la ISIS.Hapo umesema ulikutana na watu wanaokimbia baada ya uchaguzi mkuu.Hivyo ni matokeo ya uchaguzi mkuu na hawakukwambia kwamba waliofanya matendo hayo ni waislamu.
 
Uliwaona wapi na umetumia vigezo gani kupima ujuzi wa wanadini wakati wewe mwenyewe ama huna dini au una imani tofauti na dini yangu.
 
Umetusaidia sana kwa taarifa zako.Tunachosema machafuko yanayotokea Msumbiji na miji ya kusini mwa Tanzania hayafanywi na waislamu kwa jina la ISIS.Hapo umesema ulikutana na watu wanaokimbia baada ya uchaguzi mkuu.Hivyo ni matokeo ya uchaguzi mkuu na hawakukwambia kwamba waliofanya matendo hayo ni waislamu.
Daaah mkuu naomba tu niishie hapa. Mimi nipo huku, wewe unapiga hadithi. Sawa mkuu...
 
Wengi mnaeleza na kuandika tu lakni sababu hamzijui kaeni kimya. Naona yanayoendelea watu kukimbia makazi yao na wengine kuhamia miji mengine na usaidizi tunawasaidia wamakazi na wao hueleza sababu.

Nisiulizwe kwa hili. Até já.
 
Mkuu Mtwara Vijijini na Tandahimba walishaua na kuchoma moto nyumba.

Kwa macho yangu kuna siku nadrive kutoka Mtwara kwenda Newala nashuka Mlima wa Nanyamba nakutana na wanavijiji wengine kwenye pikipiki na mabegi yao, wengine kwa mguu na wengine kwenye magari wakikimbia kutoka kijijini kwao walikovamiwa usiku wake (Kijiji cha Tandahimba sikikumbuki jina).. Na wao kwa kuwauliza walikiri ndugu zao kuchinjwa na wengine walitekwa.. Hiyo ilikuwa siku moja tu baada ya uchaguzi mkuu..

Hapa ninavyoandika niko moja ya wilaya za Mtwara kwa kazi ya muda kidogo. Bar zinafungwa saa 4 na hauruhusiwi kutembea usiku zaidi ya saa 12 kama huna kitambulisho cha mpiga kura, lakini hauruhusiwi kabisa kutembea juu ya saa 5 usiku na kitakachokukuta usiku huo utasimulia mpaka wajukuu wako.

Acha masihara yako, haya mambo yapo. Na usitake tukutajie mpaka Makanali waliopewa kazi ya kuulinda mpaka wetu kuanzia Kilambo mpaka Nyasa huko..
Kule Zanzibar siku hiyo na ya nyuma yake yalitokea makubwa kuliko hayo uliyoshuhudia huko Mtwara.Jee nako kulikuwa na ISIS.
Haileti maana kuwa kila uovu unaotendwa kuhusishwa na Uislamu.
 
Ivi hata mauwaji ya garisa kumbe ile ilikuwa wakenya wana act tu
Wakenya wameact mara nyingi sana au wametaka nchi yao iwe uwanja wa wasanii.Mpaka leo ilikuwaje kwenye ile mall haijaeleweka.Hatutaki Tanzania iwe na usanii kama ule.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom