mzuka babaake.....Jani kama kawa...kama dawa...kama ida...Mkuu tupe heshima yetu bana. Hao wasiovuta bangi wamelifikisha wapi taifa letu?
wala viwavi hapo lumumba wameshahalalisha wanavuta hapo ofisini kwao.Halafu unamkuta mtu tena anaitwa mheshimiwa anatetea bhangi.
Wakati kuna mambo mengi ya msingi yanawagusa wananchi.
Hapo ajiulize huyo kijana anavua samaki ni mzima??
tanzania ya magufuli NI yaaa VIWANDAAAAAAAAAAAAcheni unafiki wanzania badala yake tuungane Na msukuma bange , mirungi Na gongo iruhusiwe tuongeze pato LA taifa
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.