Usiweke ulinganifu Wa uhitaji Wa kuhalalisha matumizi ya mmea mtakatifu "Bhangi" na Ushoga "Usenge" utakua unamkosea sana MUNGU MTAKATIFU na Watumiaji Wa Bhangi.Hata nchi za magharibi walianza na mijadala kama hii;mara bangi ihalalishwe,mara utoaji mimba uhalalishwe,hivo watanzania tusishangae iko siku kuna watu watataka na USHOGA uhalalishwe.BEWARE.
Tunakatazwa kuvuta ndio maana hatulimi heka 2, mturuhusu muone.. Hapa Kazi TuHiii ni balaa sasa!! Alisema usukuman bangi mtu anavuta atapata nguvu ya kulima heka mbili!!! Ingekua hivo c watu wangekua matajir!!! Mungu atuhurumie
ndumu wasiruhusu ije hadharani itapungua stimu... we si unaona gongo msimamo tofauti na kiloba
smoke weed everyday-nate dogg
Anatetea biashara zake huyo,Katika kile kinachoonekana kukurupuka na kutojielewa leo mbunge musukuma kasheku ameomba serikali ihalalishe matumizi ya bangi ili iweze kuongeza pato la serikali. Hii inaonesha ni aina gani ya wabunge tulionao katika awamu hii. Naomba serikali ipige marufuku wabunge wa namna hii.
Kilimo Cha Bangi
Kama Kichwa cha Habari Kinavyojieleza
Hili Zao Likialalishwa Kwa Hakika Pato La nchi Litaongezeka
Yani Litapatikana kilahisi VpKwani sio zao la kibiashara? maana linauzwa na kununuliwa na wateja tupo.
Halafu likihalalishwa Pato haliwezi kuongezeka kwa sababu litakuwa linapatikana kwa wingi na kwa bei rahisi na wakati mwingine hata bure utapata kwa sababu litakosa soko na kila mtu atalima.
Na huku ndiko tunakoelekea kwa kuwa na wawakilishi kama akina MsukumaHata nchi za magharibi walianza na mijadala kama hii;mara bangi ihalalishwe,mara utoaji mimba uhalalishwe,hivo watanzania tusishangae iko siku kuna watu watataka na USHOGA uhalalishwe.BEWARE.
Sasa kama si elimu duni,Msomi gani hajui madhara ya mirungi na bangi?