"Msukule" wa Mapenzi...

Mbu.....hiyo ya kunical na no niczozijua coz anajua ya kwake cwez kupokea(leo pia amecal na no nicyoijua) ndio inanikera zaidi zaidi, kuna cku alinical nipo na msukuma tunaelekea kuwajibika, unajua ile mtu anaanza na salamu ndefu maelezo mengi na hujamjua bado, unabakia unamuuliza mwenzangu nani, anakuuliza/eleza cjui nn na nn na nn, msukuma pembeni anahic unaongea kwa wacwac, inaniletea shida sana sana, unakacrikiwa kucpo na lazima..na maswali yacyo na lazima...anakuharibia cku kabisa......kweli inaudhi sana.

...Unaona sasa? kama alikuwa na nia nzuri tu kukufahamisha mama'ke anaumwa, kwanini hakukupigia kwa namba yake/ au kukutumia sms?...Tatizo linapokuja suala hili huwezi sana kuingilia, maana unahisi mwenzio ndiye anayeyaendekeza.
Anajua muda huo upo na Mumeo ndio anapiga, halafu story nyiiiingi...aaaaarrrrrghhhhh!!!! Hata mimi ningekuwa mumeo ningechukia sana!

Mimi sipendi kuchezeana akili...yani mtu mmeshaachana bado anakusumbua tena mwingine makusudi kuona kama bado unamfeel au utachanyikiwa vipi!!
Salamu mara moja moja siyo mbaya...

...BJ umeandika la maana sana, kweli ni makusudi tu anakupima una mfeel/ utachanganyikiwa vipi. It is not fair at all!
Tatizo, wengi wetu tunadhani tunatumia utu/ubinadamu kuwasikiza shida zao, kumbe nia zao ni za kishetani zaidi!

Kuna wale ambao kwa kujua hawezi kubomoa ukuta ulojijengea asikuchanganye akili, hutumia ndugu/marafiki wa karibu
kuwapa habari za "majanga yake ya uongo na kweli" ili nawe upate habari indirectly au hata ulaumiwe na hao jamaa zako kwamba huna huruma kwa Ex-wako. Usanii kwa kwenda mbele. Inaudhi sana.
 
Ukiona ex wako anakuendesha na bado unaingia line ujue bado kuna ka feeling fulani unacho juu yake,kuhusu kuzaa nafikiri ukiwa umefanya yanayohusu mtoto ipasavyo na kuhakikisha unamwona mara kwa mara mwanao haezi kukuita ovyo usiku wa manane coz utakuwa labda umemuona mtoto mchana na kujua afya yake,so akikuita usiku utamjibu mkato tu,tutaonana kesho,kuna wanaume wengine huwa hawna msimamo kabisa ukiwa na msimamo from begining sidhani kkama atathubutu kukuyumbisha
 
VoR mybrother you never learn ee? tunazungumzia emotional roller coaster hapa, kwamba nia na madhumuni ya huyo anayekufanyia hivyo anajua ulimpenda sana, akakutumia ipasavyo na anaujua udhaifu wako.

Kwakuwa mmeachana, anatumia udhaifu ule ule [kwamba anajua ulimpenda sana,] kuamsha hisia zako -si za mapenzi- ila huruma ambayo anajua itazaa tena mapenzi akutumie tena kukuumiza. Learn bro, it's a circle. Hayo si mapenzi...it's Emotional Roller coaster- "Msukule!"

Mbu naona VOR hajajua kuwa hapa unatumika na unatumiwa. Kuseek attentio kwake sio kwamba hajui hilo anajua fika kuwa mliachana na kila mmoja ana maisha yake na kila mmoja ana mwenza wake may be ila anakutumia tuu. Na anajua ni wapi atakupata na wapi ashike karata yake na aiplay vipi

Wakuu in life ukiangalia sana we are all using each other kwa jambo moja ama lingine... now former President Bush kuna siku alisema...
"Fool Me Once, Shame on You, Fool Me Twice Shame on Me"...., hapa hakuna mtu aliyefungwa kamba kama unajua kwamba mtu alikuumiza alafu baadae unampa chance ya kukuumiza kosa sio lake ni lako....

Na sio kweli kwamba relationship zote zilikwisha sababu ya kuumizana nyingine ni sababu tofauti zilizopelekea nyie kuachana.. kwahiyo kama utakubali mrudiani na itakufanya uwe na furaha hiyo ni risk utakayochukua..., Kama utapenda the High kwenye rollercoster kuwa tayari kuvumilia the Low....
 
Inashangaza sana mtu mliachana tena maybe yeye ndo alikuacha anaanza kukwambia mtoke aunt ooh mama mgonjwa so what over is over usidanganyike ndugu

Yaani we acha tu, Mbu baba leo umeamkia wapi? yaani hii thread lol kama alivyosema the boss kwamba anadhani ashakua msukule bora ye anadhani mi ndio nishakua msukule kabisaaaaaaaaaa yaani mtu anakuacha kwa mbwembwe zisizo mfano halafu mambo yakienda ndivyo sivyo huko anaanza usumbufu, kibaya kama mmeshazaa ndio kizaa zaa kinaanzia hapo.

1. Mmama anatishia mtoto anaumwa n.k kumsumbua baba
2. Baba nae anatishia kukunyang'anya mtoto kisa unajifanya uko busy so hata mtoto wake huwezi pata muda wa kumwangalia.

Ngoja niishie tu hapa ila inauma sana sana sana kama yamekukuta, kwa kifupi niko natumika kama mzukule sasa na bado sijajua nitajinasua vipi.

kwa kweli inakera sana asee.
 
Nyamayao Pole, ila Eiyer na Mr Rocky wamesema kila kitu hapa.

Utumwa na utegemezi wa hisia!Unapompa mtu mamlaka ya kukuamulia ujisikieje ni hatari sana kwani wewe ni mtumwa kwake,akiwa na hasira roho juu,asipopokea simu unajistukia,ukimpigia sim asipocheka kwenye mazungumzo yenu inakuwa kazi,n.k....Kama yanakutokea hayo na mengine ya kufanana na hayo jua hayo sio mapenzi bali utumwa,Upendo wa kweli pale unapokuwa na maamuzi yako mwenyewe namna unavyotaka kujisikia,nje ya hapo ni matatizo!
Inakuwa ngumu sana kila siku wewe ni kujustfy hapana ilikuw asalam tuu au ilikuwa ananiambia kuhusu ugonjwa au habari za mtoto. Sasa iwe kila siku. Mwenza wako lazima nae atadoubt kuwa kuna something fishy kinaendelea sio salam tuu

Yaani upo kwenye maisha mapya, wewe ni kujitetea tu...inafika kipindi kweli utaanza kutoeleweka.
Spouse atakwambia e bwana wee...amua moja! Unaendelea kumsikiza huyo Ex wako unayedai "eti" alikunyanyasa
na hukutaka kumsikia tena, ama unaamua kunisikiza mimi kwa faida ya maisha yetu.

Kukosekana kwa uaminifu katika ndoa kunatokana na mengi, waweza mlaumu mwenzio kumbe kuna athari uliziendekeza mwenyewe na bado unazilea katika mahusiano yako mapya kiasi kwamba mwenzako anaweza kuhisi upo mguu ndani mguu nje aka huna msimamo.
 
mbu huko mbona kutesana? Hakuna wa kumlilia isipokuwa ex?Mi naona ni makusudi tu....hataki upate amani ya moyo wala kichwa/distraction, kutaka kuonewa huruma ay kukukomoa tu.Sasa na ww ukimuendekeza kila akilialia anakupata, basi utakomaSijaqahi kuruhu ex aniletee kikwazo kwenye mapenzi yangu ninayoyathamini kama mboni ya jicho langu, na kamwe sitamruhusu. same way i wouldnt like my man to entertain that kind of com....
 
Wakuu in life ukiangalia sana we are all using each other kwa jambo moja ama lingine... now former President Bush kuna siku alisema...
"Fool Me Once, Shame on You, Fool Me Twice Shame on Me"...., hapa hakuna mtu aliyefungwa kamba kama unajua kwamba mtu alikuumiza alafu baadae unampa chance ya kukuumiza kosa sio lake ni lako....

Na sio kweli kwamba relationship zote zilikwisha sababu ya kuumizana nyingine ni sababu tofauti zilizopelekea nyie kuachana.. kwahiyo kama utakubali mrudiani na itakufanya uwe na furaha hiyo ni risk utakayochukua..., Kama utapenda the High kwenye rollercoster kuwa tayari kuvumilia the Low....

VOR you might not gave her a chance to seek that attention from you ila analianzisha mwenyewe. Hili la kuwa mliachana may be kwa fault ambazo hazikuwa zenu na kama zikimalizwa mnaweza kurudiana hilo lipo ila sasa si kwa njia ya kutatuta kumfanya mwenzako kama msukule yaani kila time awe anakuwaza wewe. Awe anakufikiria wewe awe anakuona machoni mwake kila time. Hapo sasa unamuumiza mwenzako na unamfanya mtumwa pasipo kutarajia. Kama ni kukutafuta mpe nafasi ya yeye kufikiria na awe na nafasi ya kukutafuta mwenyewe sio kumfanya awe mtumwa wako wakati bado ana his own life
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mimi hata afe yeye siendi i hate him so very much

Bebii pamoja na kwamba hii thread imenigusa ila nashukuru umenifanya nicheke lol, ukiona unamchukia hivyo ujue bado unampenda sana tu samahani kwa hili, ila siku upendo ulionao kwake ukikutoka utashangaa humchukii wala nini utakua unamuona wa kawaida tu..
 
Mkuu sometimes its a "means to an end"..., the end justify the means... kwenye upendo watu hutumia njia zote (sio kwamba nina-advocate hii tabia chafu) lakini that why nikasema kama the feeling is mutual then maybe msingeachana in the first place..

Na bila kumpa attention mwenza wako na kuonyesha kwamba bado unampenda atajuaje...? (ofcourse kama anasingizia mtoto mgonjwa alafu ukifika mtoto mzima am sure utapata message) na baada ya hapo the ball is in court either uamue kusuka ama kunyoa
 
Mbu amenikumbusha kitu........tatizo maswali yamekuwa mengi kuliko majibu.........labda niulize pamoja na usumbufu anaopokea vipi kuhusu hisia zake kwakwe bado anampenda?/au anahisi anamuonea huruma na si mapenzi yaliyomo ndani ya moyo wake.

naamini kuna watu wana ugonjwa wa kupenda sio wote ieleweke,kuna watu huwa wanakuja kwenye maisha yetu na huwa si rahisi kuwaondoa .......kwangu huwa nauita ugonjwa sijui kama niko sahihi kwa sababu hata mie ninao ..........mahusiano yatavunjika lakini upendo wangu hautafutika kwake hapo ndipo upande wa pili hutumia hiyo nafasi kucheza na wewe.

jingine ni ubinafsi tulioumbwa nao wanadamu hutaki kumuona akifurahi/kafanikiwa/kapendeza au ana mahusiano mengine kwake yeye ni kama ushindi.

Chauro, yamekukuta wapi tena?? i thought wewe bado mdogo??

Mbu... ngoja nipate dinner leo nipo uhindini ntarudi badae kidogo kabla hujalala
 
Mkuu sometimes its a "means to an end"..., the end justify the means... kwenye upendo watu hutumia njia zote (sio kwamba nina-advocate hii tabia chafu) lakini that why nikasema kama the feeling is mutual then maybe msingeachana in the first place..

Na bila kumpa attention mwenza wako na kuonyesha kwamba bado unampenda atajuaje...? (ofcourse kama anasingizia mtoto mgonjwa alafu ukifika mtoto mzima am sure utapata message) na baada ya hapo the ball is in court either uamue kusuka ama kunyoa

VOR sijakuweka kwenye kundi kwamba unaadvocate haya wanayofanya ila sometimes u have to handle issue like the way they are. Una life lako tayari whether the former one haikuisha the way you like ila you have to move on with your life. Usitoe chance ya wewe kuwa mtumwa wala usikubali wewe kuwa mtumwa wa mtu ambaye tayari ana maisha yake. Sidhani baada ya kuachana ulikaa idle kusubiri your Ex to remember you ila ulianza life mpya. Na inapokuja swala la kuwa umeshaanza maisha na your Ex anaibuka from nowhere anakufanywa mtumwa wa mahangaiko yake au upweke wake you have to ask kwa nini imekuwa hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Bebii pamoja na kwamba hii thread imenigusa ila nashukuru umenifanya nicheke lol, ukiona unamchukia hivyo ujue bado unampenda sana tu samahani kwa hili, ila siku upendo ulionao kwake ukikutoka utashangaa humchukii wala nini utakua unamuona wa kawaida tu..
kweli simpendi haata kidogo upendo ushanitoka nachukia tu vile ananisumbua sijui ananidai nini mwenzangu
 
Mbu....nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu but nadhani jamaa kajipanga kabisa kuniharibia, unawezaje kumcal mke wa mtu saa 6 ucku? ukipokea ukijua ni yeye unakata, kasheshe inaanzia hapo, matatizo matupu, Mbu cjui umenitibua na hii thread nimeckia hacra ghafla.
 
Kama anakupigia simu usiku anakuambia "naumwa"mwambie kwani mimi daktari?Halafu umsikie kama hajatoka nduki fasta an never look back!!
 
Mbu naona VOR hajajua kuwa hapa unatumika na unatumiwa. Kuseek attentio kwake sio kwamba hajui hilo anajua fika kuwa mliachana na kila mmoja ana maisha yake na kila mmoja ana mwenza wake may be ila anakutumia tuu. Na anajua ni wapi atakupata na wapi ashike karata yake na aiplay vipi

...lol...hilo la kutojijua unatumika au kutumiwa ndio "MSUKULE" wenyewe huo...inabidi mtu wa aina hii aombewe na kumwagiwa maji baridi sikioni!

Ukiona ex wako anakuendesha na bado unaingia line ujue bado kuna ka feeling fulani unacho juu yake,kuhusu kuzaa nafikiri ukiwa umefanya yanayohusu mtoto ipasavyo na kuhakikisha unamwona mara kwa mara mwanao haezi kukuita ovyo usiku wa manane coz utakuwa labda umemuona mtoto mchana na kujua afya yake,so akikuita usiku utamjibu mkato tu,tutaonana kesho,kuna wanaume wengine huwa hawna msimamo kabisa ukiwa na msimamo from begining sidhani kkama atathubutu kukuyumbisha

...lahaula, Gaga hapo penye red unatugusa wengi...ila hizo feelings ni ngumu kuzielezea kama zina maanisha mazoea, huruma, au kumbukumbu,....lakini sio mapenzi. Kasheshe ni kumpata Mwenza ambaye nae atalielewa hilo.

Wakuu in life ukiangalia sana we are all using each other kwa jambo moja ama lingine... now former President Bush kuna siku alisema...
"Fool Me Once, Shame on You, Fool Me Twice Shame on Me"...., hapa hakuna mtu aliyefungwa kamba kama unajua kwamba mtu alikuumiza alafu baadae unampa chance ya kukuumiza kosa sio lake ni lako....

Na sio kweli kwamba relationship zote zilikwisha sababu ya kuumizana nyingine ni sababu tofauti zilizopelekea nyie kuachana.. kwahiyo kama utakubali mrudiani na itakufanya uwe na furaha hiyo ni risk utakayochukua..., Kama utapenda the High kwenye rollercoster kuwa tayari kuvumilia the Low....

...VoR,...umeiweka vizuri hii, hasa hapo penye red kiasi kwamba nimeukumbuka msemo wa "Screw Driver" -MwanajamiiOne.

Yaani we acha tu, Mbu baba leo umeamkia wapi? yaani hii thread lol kama alivyosema the boss kwamba anadhani ashakua msukule bora ye anadhani mi ndio nishakua msukule kabisaaaaaaaaaa yaani mtu anakuacha kwa mbwembwe zisizo mfano halafu mambo yakienda ndivyo sivyo huko anaanza usumbufu, kibaya kama mmeshazaa ndio kizaa zaa kinaanzia hapo.

1. Mmama anatishia mtoto anaumwa n.k kumsumbua baba
2. Baba nae anatishia kukunyang'anya mtoto kisa unajifanya uko busy so hata mtoto wake huwezi pata muda wa kumwangalia.

Ngoja niishie tu hapa ila inauma sana sana sana kama yamekukuta, kwa kifupi niko natumika kama msukule sasa na bado sijajua nitajinasua vipi.

kwa kweli inakera sana asee.

...Maskini Maty, pole sana. Hatua ya kwanza tayari unaipitia sasa hiyo ya kukukera sana, ...kama alivyogusia AshaDii, time is a healer. Ni juu yako na ipo ndani ya uwezo wako ku disconnect hizo emotional attachments.

Kama ulivyogusia la mtoto, mkishazaa ni kasheshe. Hata akikunyang'ang'anya mtoto...ndio yale yale ya kupigiwa simu uende haraka, mtoto anaumwa...unamuacha kitandani mkeo/mumeo unakimbilia kwa Ex wako...kwani ukienda na mkeo/Mumeo, Ex-wako ananuna! Balaaa tupu!
 
Mbu....nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu but nadhani jamaa kajipanga kabisa kuniharibia, unawezaje kumcal mke wa mtu saa 6 ucku? ukipokea ukijua ni yeye unakata, kasheshe inaanzia hapo, matatizo matupu, Mbu cjui umenitibua na hii thread nimeckia hacra ghafla.

Ohhh Nooooo!!! Nyamayao pole dada'ngu jamani...lohhh...
ila nawe kwanini unalala na simu-"On" wakati mumeo na watoto wapo hapo kando?
Unasubiri simu ya nani?

Kwanini hu mute hiyo simu kama wasiwasi wako unaweza kosa simu za ndugu?
Sikukusudia kukutibua Pole jamani, kunywa maji baridi utapoa...pole mydear.
 
tunafurahi sana kuona kwamba hata kama sisi mods hatupo around, vijana mnajadili mada bila mikwaruzano wala kuenda offu topik, hii imenipa moyo sana na nitashauriana na mods wenzangu tuanzishe JF nyengine zikuwepo 2. Hivyo basi Kwa niaba wa ya waifu (ambae juzi kwa bahati mbaya ameibiwa handbag yake), na kwa niaba ya jirani yangu (ambae alipima ukimwi juzi akaonekana anao), na kwa niaba ya mwajiri wangu (ambae anavuta bangi kabla breakfast) napenda kuchukua nafasi hii kuwashkuru nyote. Mbarikiwe sana

bek to topik: muda hautoshi kucomment.

nawahi press conference
 
Mbu....nimejitahidi kadiri ya uwezo wangu but nadhani jamaa kajipanga kabisa kuniharibia, unawezaje kumcal mke wa mtu saa 6 ucku? ukipokea ukijua ni yeye unakata, kasheshe inaanzia hapo, matatizo matupu, Mbu cjui umenitibua na hii thread nimeckia hacra ghafla.

Mi nakwambia sijuii Mbu leo amewaza nini kuja kututibua mashetani hapa, ninachoshukuru kwa upande wangu sina mapenzi nae kabisaaa namuona kama kaka yangu, kwa kweli kwa hili namshukuru Mungu. Ila ndio ningekua bado nampenda nahisi ningeteseka sana kwa kweli kwani ameshafanya kila aina ya mbinu, sasa amebaki kunitishia upuuzi tu hovyo kabisa.
 
...lol...hilo la kutojijua unatumika au kutumiwa ndio "MSUKULE" wenyewe huo...inabidi mtu wa aina hii aombewe na kumwagiwa maji baridi sikioni!

Ndo maana namuambie VOR kuwa hapo ni kuwa hajajijua kuw aanatumiwa haijalishi hata kama mapenzi au mlianchana bila kupenda kwenu kile kitendo cha wewe kuwa mtumwa wa kile anachokitaka tayari ni msukule
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom