Mssad kwa anayejua

Mssad kwa anayejua

Naupenda sana huu wimbo.

Mkuu natumaini utakuwa umewahi kuusikia ila tabu ni jina lake tu, ila ni zouk fulani limechanganywa nyimbo kibao kama Mario ya Franco, Misounwa ya Monique Seka, Eswiyo wapi ya Mbilia Bell na nyingine nyingi...........inabidi nifanye uharamia tu nikatafute jina lake kwa wachoma cd wa Stand hapo
 
Hahahaha partner yaani unataka kupata attention kwa stahili hiyo jamani! We hapa attention ipo tu wala usijali.......... "NO ONE LIKE YOU PARTNER"

SINIFANYE NIKAPAA SASA!kwa hii mineno mitamu KING'sti alikuwa ananibishia kuhusu mimi kutofanana na yeyote kwako .
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmh Bishanga usinidanganye ndege wangu akapeperuka buree
 
Last edited by a moderator:
He he he heeeeeeeeeeee, you made my alasiri..!
A%20S-heart-2.gif
Love
A%20S-heart-2.gif
doesn't
A%20S-heart-2.gif
ask
A%20S-heart-2.gif
why
A%20S-heart-2.gif
 
Usijali partner King'asti si unajua muda mwingi anaspend kule mitaa ya nanihii!
kwi kwiiii kwi!
asavali na we umemshtukia!
leo babake kafanya declaration kuwa ni simba mzee!
sasa anakomaaje kubishana na watu kudhihirisha babake Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom