Mke wa rafiki yangu

Mke wa rafiki yangu

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,822
Reaction score
9,800
Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.

Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.

Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉
 
Lakini kila mtu hujaribiwa na tamaa yake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa,halafu ile tamaa ikishachukua mimba huzaa dhambi,na ile dhambi ikishakukomaa huza mauuti (Yak.1:14-15)....
 
Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.

Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.

Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉
Muda si mrefu utakula shaba dalili hizo si nzuri! Kila lakheri
 
Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much.

Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali.

Sasa akija kufanya malipo mara nyingi anaweka hako kawimbo halafu kama anarembua hivi na vidimpoz vyake😉
Hii kanuni uishikilie kwa nguvu "mke wa mtu ni sumu ". Kwaheri.
 
Wanawake rahisi kuliwa papuchi ni wake za watu, lakini mwanamke hatari kufanya nae mahusiano ni mke wa mtu.

Kwanini nikasema hivyo jana kuna mwanaume tumemfi..ra kwa kutembea na mke wa mwana. Nawe nikipigiwa simu nakuja na KY na Vumbi la Kongo manake nimegundua matako ya kiume yapo bikraaa😋
 
Back
Top Bottom