Mssad kwa anayejua

Mssad kwa anayejua

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Kuna wimbo fulani sijui aliyeuimba ila huwa una mchanganyiko wa nyimbo nyingi za kiafrica na umeimbwa kwenye style ya zouk. Anayejua jina lake au aliyeuimba please msaada.
 
Kuna wimbo fulani sijui aliyeuimba ila huwa una mchanganyiko wa nyimbo nyingi za kiafrica na umeimbwa kwenye style ya zouk. Anayejua jina lake au aliyeuimba please msaada.

Kopi: BAK
 
Last edited by a moderator:
Nimeng'aa macho Mkuu :dizzy:
Mkuu natumaini utakuwa umewahi kuusikia ila tabu ni jina lake tu, ila ni zouk fulani limechanganywa nyimbo kibao kama Mario ya Franco, Misounwa ya Monique Seka, Eswiyo wapi ya Mbilia Bell na nyingine nyingi...........inabidi nifanye uharamia tu nikatafute jina lake kwa wachoma cd wa Stand hapo
 
Partner nimekumiss sana asee, nimepotea siku hizi majukumu yamenibana hapa niko Arusha na wote huku wamenitosa ndio maana natafuta hizi burudani
mi nikajua una partner mwingine siku hiz!
kidogo nikuanzishie sredi kama watu8 alivonianzishia jana,:lalala:
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaaaaaa,Ok poa shem wangu Arushaone!
Mzima wewe lakini?
Sasa sitotaka kumpa maumivu ya moyo my hubby Erickb52
 
Last edited by a moderator:
mi nikajua una partner mwingine siku hiz!
kidogo nikuanzishie sredi kama watu8 alivonianzishia jana,:lalala:
Hahahaha partner yaani unataka kupata attention kwa stahili hiyo jamani! We hapa attention ipo tu wala usijali.......... "NO ONE LIKE YOU PARTNER"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom