Msosi uko huku karibuni

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,064
1,500
Muda muafaka wa kupata lunch. Nasema tena karibuni
 

Attachments

  • MAANDALIZI_YA_CHAKULA.JPG
    File size
    100 KB
    Views
    186

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,064
1,500
Wakuu hii ilikuwa MORO. Yaliandaliwa mashindano ya kula ubwabwa na mgeni rasmi alukuwa mkuu wa mkoa.
 

Dfour

Member
Mar 18, 2010
47
70
Haaa yani ukitaka kumuua mtoto wa uswahilini bila kelele mwonyeshe ubwabwa wali na awe hana matumaini ya kuupata atakufa kwa msongo wa mawazo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom