Karibu sana Jukwaani na jisikie huru.Habari zenu wakuu
Mimi ni mwanachama mgeni nimejiunga siku za karibuni ila nimekuwa msomaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa
karibu sana ndugu mdau 🐒Habari zenu wakuu
Mimi ni mwanachama mgeni nimejiunga siku za karibuni ila nimekuwa msomaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu sasa
Hao wote uliowatag n wanawake una uhakika, au kuna jambo unalitafuta?Haya subir tukutambulishe kwa madada wazuri wa humu Chizi Maarifa Seran Echolima1 Chivundu Binti wa zamani @win_one Kijakazi cocastic na wengne, kama ww wakiume unaweza opoa mali hapo zote pisi kali kama wa kike hao watakua shoga zako japo kuna wengne ni blending mashine kua makini
Mgeni hayuko online amerudi kwenye ac yake mama kusoma comment.Tuma pps 2 (coloured) , majina kamili status yako n.k
Haya mgeni unapenda vya kukAanga, kuchemsha., kuchoma ama kubAnika ? Chaguo ni lako !
Wewe kanywe visungura ulalemi pia ni mgeni naombeni mnipokee
unapenda kuniandama sijui upoje😅😅Wewe kanywe visungura ulale
Karibuni sana mgenimi pia ni mgeni naombeni mnipokee
asante sana,,, naweza kuingia miguu yote au nitangulize kidole?Karibuni sana mgeni
Ingia kwa miguu yote tuasante sana,,, naweza kuingia miguu yote au nitangulize kidole?
mbona umetanguliza kicheko? hapa kuna tatizo bora nitangulize ukucha tu🤗Ingia kwa miguu yote tu
Mgeni kwioomi pia ni mgeni naombeni mnipokee
nilisahau kujitambulisha saivi naona ndo wakati sahihi, au nimekosea😜Mgeni kwioo