Niwapatie background kidogo: Gazeti la Jumatano la Raia mwema lilipata matangazo toka Hazina kuhusu masuala haya ya malipo ya walimu na hivyo likachapisha matangazo hayo na ndiyo msingi wa email hii:
Mwandishi bulogu yake: kijana; nyegerage, karibuni, hiki ndo kijiwe chetu sema utakachokusema!!
My Take:
Natumaini Raia Mwema watachapa hiyo barua.
Nimependa jibu lako hilo.MwanaKijiji,
Nyagerage anapaswa kufahamu kuwa bila matangazo magazeti hayawezi kujiendesha. RaiaMwema sio gazeti la kupata faida, ni gazeti la huduma zaidi ili tupate kusoma makala kama za kina Lula etal.
Matangazo ambayo raiamwema imepata wiki iliyopita yaweza kusaidia kuchapa raia mwema kwa wiki kama tano zijazo na hivyo kutusaidia kupata ambacho hatupati kutoka magazeti mengine - habari za uchambuzi na uchunguzi.
Ninashauri tu kwa raiamwema kuwa inapotokea kuna matangazo mengi kama yale, basi waongeze ukubwa wa gazeti kwani wasomaji tunaonewa kwa kukosa makala. Pia waandishi wa makala kazi zao zakosa nafasi.
Barua hiyo ichapwe, lakini with a note ya mhariri kuwa gazeti haliendeshwi kwa mauzo tu ya gazeti bali kwa matangazo.
Mmesikia kuwa serikali imetoa notice kwa wizara kutopeleka matangazo yake kwa vyombo vya habari vya Mengi? Lengo ni kuua vyombo hivi na kumfanya Mengi aache kusimamia habari za ufisadi. Tanzania mtangazi mkuu ni Serikali - wanaJF tujue hilo.
hata sielewi...
Gazeti ni biashara ya mtu na inategemea unataka kuwatangazia wananchi kitu gani.. Hupendi Matangazo usinunue, tafuta gazeti lenye kurasa nyingi za habari unazotaka wewe kusoma.
Inawezekana kabisa Raia mwema wana wateja wengi wanaotaka kununua vitu, kutafuta kazi, kutafuta wachumba na kadhalika, hivyo soko lao la biashara limehama toka habari za Kudanganyana kwenda habari za maisha halisi..
It's all business!
Sidhani kama order hiyo ya serikali inaweza kusimama mahakamani kwani tuna "non-discrimination clause" kwenye Katiba. Kama agizo hilo ni rasmi Mengi akienda mahakamani atashinda kirahisi tu. Serikali haiwezi kuwatendea wananchi wake kwa ubaguzi.
a. Makampuni ya Mengi yanalipa kodi kwa serikali? Kama analipa kwanini kodi yake iweze kwenda kwenye makampuni mengine kwa mkono wa serikali hiyo hiyo?
b. Serikali inachotumia kupelekea matangazo siyo fedha ya CCM. Sasa CCM wanaweza kukataa kupeleka matangazo yao kule lakini serikali haiwezi kutoa agizo la kibaguzi na inapofanya hivyo Mahakama inatakiwa iingilie kati na kusema "no you can't do that".
Vinginevyo watakuwa wameamua kumtengeneza shujaa!
Wewe uliyandika ujumbe huu hauna maana hata blogu yako sitembelei -- kama kutangaza blogu ni kwa hoja kama hizi na lugha hizi basi wabongo tuna safari ndefu za mafanikio nina uhakika wewe utakuwa ni mhitimu wa mlimani
Shy;
Ngoja nikupashe kidogo.
Wewe kufanya kazi eneo la Chuo kikuu Mlimani kama PC technician na kuzoeana na baadhi ya wanafunzi KUSIKUFANYE udharau chuo kikuu cha 13 kwa ubora Africa!.
Angalau ungekuwa na angalau Advanced diploma ungestahili angalau kudhiaki degree za hapo Mlimani. KULE KUTOKUWA NA ANGALAU DIPLOMA KUNAKUFANYA KUWA MIONGONI MWA WATANZANIA WENGI WAIO NA DEGREE.
Kijana binafsi sikuelewi kabisa, jiunge na kozi za jioni hapo chuoni angalau upate degree yoyote tu angalau. Kuna tofauti kubwa tu kati yako na hao wahitimu.
shy;
ngoja nikupashe kidogo.
Wewe kufanya kazi eneo la chuo kikuu mlimani kama pc technician na kuzoeana na baadhi ya wanafunzi kusikufanye udharau chuo kikuu cha 13 kwa ubora africa!.
Angalau ungekuwa na angalau advanced diploma ungestahili angalau kudhiaki degree za hapo mlimani. Kule kutokuwa na angalau diploma kunakufanya kuwa miongoni mwa watanzania wengi waio na degree.
Kijana binafsi sikuelewi kabisa, jiunge na kozi za jioni hapo chuoni angalau upate degree yoyote tu angalau. Kuna tofauti kubwa tu kati yako na hao wahitimu.
Kumbe ndio maana huwa hatuelewani na baadhi ya watu.Shy;
Ngoja nikupashe kidogo.
Wewe kufanya kazi eneo la Chuo kikuu Mlimani kama PC technician na kuzoeana na baadhi ya wanafunzi KUSIKUFANYE udharau chuo kikuu cha 13 kwa ubora Africa!.
Angalau ungekuwa na angalau Advanced diploma ungestahili angalau kudhiaki degree za hapo Mlimani. KULE KUTOKUWA NA ANGALAU DIPLOMA KUNAKUFANYA KUWA MIONGONI MWA WATANZANIA WENGI WAIO NA DEGREE.
Kijana binafsi sikuelewi kabisa, jiunge na kozi za jioni hapo chuoni angalau upate degree yoyote tu angalau. Kuna tofauti kubwa tu kati yako na hao wahitimu.
Hoja anayo licha ya lugha yake kwamba wasomaji wa Raia Mwema wanastahili kupata gazeti ambalo linalingana na bei wanayonunulia!! As for gazeti kutumiwa bila wao kujua , hilo linawezekana kwani huoni Ulimwengu alivyo'tone-down' makali yake kwa awamu ya nne sio kama alivyokuwa zamani; mwanaume aliyebakia katika rika yao ni Johnson Mbwambo basi!!.
hata sielewi...
Gazeti ni biashara ya mtu na inategemea unataka kuwatangazia wananchi kitu gani.. Hupendi Matangazo usinunue, tafuta gazeti lenye kurasa nyingi za habari unazotaka wewe kusoma.Inawezekana kabisa Raia mwema wana wateja wengi wanaotaka kununua vitu, kutafuta kazi, kutafuta wachumba na kadhalika, hivyo soko lao la biashara limehama toka habari za Kudanganyana kwenda habari za maisha halisi..
It's all business!
Nimependa jibu lako hilo.
Nadhani ni kuwa na mtindo mzuri wa kupanga ni kuchagua. Wakati mwingine mnaweza kupewa matangazo mengi zaidi ili msifanye mlichotakiwa kufanya wiki hiyo. So, nadhani mhariri awe na uwezo wa kusema hapana pia.
absolutely