GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Pesa inaingia bila kupewa notifications juzi nimetumiwa tsh 2750000 nimepata notifications,jana imetumwa pesa kama ya juzi 2750000 haijaja notification jamaa ananipigia simu anauliza umeona pesa,kuchek sim banking imeingia 2712000 na hapo nilijua kwa sababu nilikuwa nakumbuka salio lililobaki...namuliza mbona 2712000 jamaa na yeye anashangaa basi tukajua tayri Mangi wa CRDB kashafanya yakeSema wanaibaje ibaje sasa.
Je hela inatoka pungufu ama unapata pesa sawa huku wanapunguza ya kwenye Account?
Naandika Kwa maandishi makubwa CRDB NI MAJAMBAZI WAKUBWA serikali iingilie kati wawajibishweCRDB Hawajaanza leo wizi wa pesa za wateja wake.
Wateja wameshalalamika sana hata humu walileta mada kuhusu wizi wao
Binafsi mwaka jana waliniibia 58K
Nitumie hiyo buku 7Mimi kipindi nipo chuo tu walikuwa wanapita na boom langu sembuse mshahara! Niliacha kuitumia mwaka juzi, nimeangalia majuzi kati kwenye app eti nina -7500 sijui yanini🙌🏾
Serikali yenyewe imeingia ubia na CRDB kupitia TAMISEMI eti kufadhiri miradi ya miundombinu, wakati hakuna kinachoendelea, barabara zote Dar zinageuka mito wakati kama huu wa mvua.Naa
Naandika Kwa maandishi makubwa CRDB NI MAJAMBAZI WAKUBWA serikali iingilie kati wawajibishwe
Kwamba simu yako haioneshi negative🤣Nitumie hiyo buku 7
Oya sio powa kama hawa mawakala wanatusevu sana maana mtu unaweza kutoa hata chini ya buku teni.Zamani nilikuwaga nikisikia mtu anayo account ya Bank, huyo namuona kishatoboa maisha.
Kumbe sikujua huwa zinabaki mpk na 3000😁
Kuwa uyaone mwanangu
Nimeiona nataka kuchukua hiyo negative 😅Kwamba simu yako haioneshi negative🤣
Uwii itabaki nini sasa🤣Nimeiona nataka kuchukua hiyo negative 😅
Niliamisha pesa zangu zote crdb baada ya mafisadi kuchezea mifumo kabla ya October mwaka JanaNawaasa watanzania wenzangu,
CRDB ni benki imejaa wezi msiitumie.
Crdb hii bank inakufa kijinga Sana kwa kuendekeza tamaaUkiwapigia simu watu wahuduma kwa wateja una dk zako kama ishirini za kusubiria, ndio wanapokea simu.Unasikia "....Swahiba langu ni lako.....swahiba langu ni lako........swahibaaaaa..... langu lako langu lako......".
Pole ndugu MtejaCRDB Hawajaanza leo wizi wa pesa za wateja wake.
Wateja wameshalalamika sana hata humu walileta mada kuhusu wizi wao
Binafsi mwaka jana waliniibia 58K
Sitaki hata Mrudishe, endeleeni kuwaibia wengine🤣Pole ndugu Mteja
Tutakurudishia.
😂😂😂Zamani nilikuwaga nikisikia mtu anayo account ya Bank, huyo namuona kishatoboa maisha.
Kumbe sikujua huwa zinabaki mpk na 3000😁
Kuwa uyaone mwanangu