Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi

Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi

Polisi wamekuwa wakiwatafuta watu wenye maneno
ya uchochezi,kwa uzi huu watawapata wengi
kama kweli wanamanisha wanachokisema.

Mtu anayebeza kusitisha maandamano ya kesho
maana yake moyoni mwake au alikuwa anaitakia nchi hii mabaya
au alitaka aone watu wakivunjwa miguu ndo iwe furaha kwake.
Shonza ni mmoja wapo kwa post yake hii
 
Kamanda! Tuanzishe chama au tujiunge na ACT au CCM hamna namna...Mbowe must resign.
Wewe endelea kubeza juhudi za viongozi wako za kusitisha maandamano na kupitia post zako hii tayari tunakujua kuwa wewe huitakii mema nchi yetu
 
Nafikiri sasa watawala wayaone haya mawazo na michango ya wana ccm ya kufurahia maandamano na kubeza juhudi za viongozi mabali mbali walio kuwa wanaomba kuahirishwa kwa haya maandamano

Kibaya zaidi anaeshabikia ni mbunge wa CCM hawa wanahubir amani cheki mioyo yao ilivyo kuna kapost aliweka hapa et UVCCM wanalelewa kimaadili na yeye kishaanza kuyapata je sasa haya ndo maadili na mafunzo wanayoyapata huko UVCCM?
 
Huyu anakichafua chuo kikuu cha udsm kwa elimu anayoianikaga hapa jf anazidiwa fikra na form four hatar sna.
 
Kibaya zaidi anaeshabikia ni mbunge wa ccm hawa wanahubir amani cheki mioyo yao ilivyo kuna kapost aliweka hapa et uvccm wanalelewa kimaadili na yeye kishaanza kuyapata je sasa haya ndo maadili na mafunzo wanayoyapata huko uvccm?
Nafikiri waziri mwigulu angeanza na hawa vijana ndani ya ccm kwani kubeza kusitishwa kwa maandamano ni uchochezi wa hali ya juu
 
Ushauri kwa wapenzi wa upinzani Km mimi, Mhe Mbowe aachie uongozi wa uenyekiti wa chama. Huu mtindo wa kubadilisha gia angani ni ishara mbaya sana kwa chama kikubwa kama Chadema. Mwaka jana Lowasa alikaribishwa kugombea urais kwa gia ya angani hivi hivi na maneno mazuri mengi sana, lakini kama woga wa Chadema kuhusu ukuta wa kesho wangeacha kuandamana tu kupisha hao walinzi wa mipaka ya nchi. Halafu kukawa na mkakati mwingine Km walivyokuwa wameuaminisha umma kuwa ukuta ni operesheni endelevu. Hii ya leo inatia kinyaa na inakera Sana kwa wapenda ukweli na wanaoamini katika mikakati madhubuti.
 
Kwa nini mnamjibu huyo? hakuna kitu kizuri kama kum-ignore mtu. Mimi humu huwa nachagua wa kumjibu! Kuna "takataka" nyingi sana humu covering all walks of life! Lazima uwe macho unamjibu nani! Mnapoteza muda kwa mtu ambaye ni platform politician!
Kwanzia sasa nafata huu ushauri.
 
Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;

Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.

Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.

Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.

Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.

Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.

UKUTA chali, kama nilivyotegemea.

Jioni Njema...!!
Hata ulipo kuwa CHADEMA,CCM kulikuwa na ombwe la uongozi ndiomana ulikuwa CHADEMA ulipohamia CCM ombwe la uongozi CCM likawa halionikani tena kwa kuwa wote mmeshakuwa walewale.
 
Hivi kuna anayeshabikia CHADEMA kwa sasa? Hakika hiki chama kimegeuka kuwa The Comedy ama Futuhi
Chama kimekufa. Hakina wanachama. hakina mashabiki. Hakina uongozi.

Ila cha ajabu, kuna nguvu kubwa sana inapambana nacho.

WanaCCM milioni 45 wanapambana na chadema mfu
Rais wa JMT anapambana na chadema mfu
Jeshi la polisi lote Tanzania linapambana na chadema mfu
Viongozi wote wa serikali: Mawaziri, wakuu wa wilaya na mikoa wanapambana na chadema mfu
Hata mbunge mashuhuri Juliana Shonza na mheshimiwa Lizaboni wanapambana na chadema mfu

Hivi hao watu wanaopambana na marehemu wao siyo mizimu kweli?
 
Juliana Shonza,

Hujaeleweka hapa zaidi yakujihami katika kujaribu kuonyesha mafanikio ya Maazimio ya KK ya CHADEMA.

Ni katika mtindo uleule wakujaribu kuhamisha mjadala na katika hili tumewadhibiti vilivyo.
 
Sasa wewe kama CHADEMA ina Ombwe la Uongozi si uache ife ili iwe furaha yako.
MWAMBIE TUMEAHIRISHA MAANDAMANO YA KUPINGA UDIKTETA KWA KUWA AKIACHA UDIKTEKTA NYIE MLIOGAWA MAGHOROFA YA JENGO LA UVCCM MLIOUZA SHAMBA LA IGUMBILO IRINGA MNAOPOKEA BUKU 2 LUMUMBA MTAONGEZEWA POSHO ITARUDI BUKU 7 TENA KULA KULALA WAKUBWA NYIE MUENDELEE KULAMBA RELI KAMA SIE TULIVYOLAMBA RELI MIAKA KUMI YA UTAWALA WA JK
 
Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;

Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.

Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.

Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.

Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.

Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.

UKUTA chali, kama nilivyotegemea.

Jioni Njema...!!
Uliishaondoka CDM, unageuka geuka kila wakati ili iweje. Ungekuwa na busara umgetumia muda wako kujenga huko uliko. Matatizo yaliyoko huko ni mengi mno. Huku hakuna anaekuhitaji.
 
HIVI NYIE NI CCM MNAOCHUKIA UKUTA KUTOJENGWA KESHO NASHINDWA KUELEWA MAANA MIE CHADEMA NIMEONA MWENYEKITI YUKO SAHIHI SANA MAANA ANGEAHIRISHA UKUTA BAADA YA KUNUSURIKA KIPONDO NA TUMEFIKA JANGWANI NINGEONA AMEKURUPUKA KAMA JPM ALIVYOMTUMBUA MAREHEMU KABWE DARAJANI
 
Mwenyekiti wa chadema ana uwezo mkubwa wa kuendesha biashara, sio chama cha siasa.

Hivi Godless Lema anaendeleaje?
 
Back
Top Bottom