Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi

Msisitizo; CHADEMA kuna ombwe la uongozi

Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;

Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.

Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.

Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.

Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.

Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.

UKUTA chali, kama nilivyotegemea.

Jioni Njema...!!
Sina kadi ya chama chochote wala si mwanachama na si mshabiki wa chama chochote, lakini ki ukweli huwa nakushangaa sana wewe. Kwanini!? Kwa sababu wewe ni mwanachama wa CCM, na huku nyuma ulikuwa na ndoa "takatifu" na CHADEMA, kwa bahati mbaya /au kwa kupenda ukapewa /toa taraka na ukafunga ndoa "takatifu" na upande mwingine !

Kwanini huyu mtaraka wako anakunyima usingizi!? Je, ulimpenda sana na bado unampenda na unatamani akuchumbie upya urudi kuwa mwanachama tena!?

Ni kweli kwamba Mchezaji wa kutumainiwa aliyenunuliwa na Simba kutoka yanga ana weza kumuongoza kapten wa yanga namna gani apange kikosi kuleta ushindi wakati wa mechi !?
 
Leo nitaanza bila salamu,
Ndugu wanajamvi, kwa siku za nyuma kidogo, takribani mwaka mmoja uliopita niliwahi kuandika hapa kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi na nikasema katika maneno ya hitimisho la andiko langu hilo kuwa;

Nakumbuka vizuri, niliambulia matusi mengi kama ninavyotaraji hata leo pia. Kama nilivyosema wakati huo nitasema tena leo kuwa WATANZANIA wameshapoteza IMANI na chadema na uongozi wake. Wasomi, wanataaluma, na makundi mengine yenye influence kwenye jamii hawaiungi tena mkono chadema, nimeshangazwa hata bodaboda na machinga nao wanajitenga mbali na chadema.

Waandishi makini wameacha kabisa kuwaunga mkono chadema, hata wale ambao waliwaandika vizuri kwenye social media akina Mwanakijiji, Chahali na hata Pasco wamekuwa wakiwashushua kila uchao juu ya maamuzi yao na uelekeo wao.

Kwa mara nyingine tena, LEO umefanyika uamuzi mwingine wa kuchekesha na wenye kuudhi. Uamuzi unaoendelea kuthibitisha kuwa Uongozi wa CHADEMA umekosa dira, maono na hawana tafakuri sahihi juu ya mabadiliko ya wakati na namna bora ya kuendesha siasa za sasa. Walipodhani kuwa FEDHA zinaweza kuwa THINK TANK ya chama na kusahau BRAINS matokeo yake ndio haya, mnakosa strategic plan na mnaishia kughairisha mikakati bila sababu za msingi zenye kueleweka kwa watu na kupoteza influnce zaidi, actually hata wanachama wanawadharau kwa mwendo huu.

Labda ilikuwa utani, lakini UONGOZI wa chadema wanapaswa kufahamu kuwa Naibu Katibu Mkuu wao na wanachama wao 27 wako korokoroni hivi sasa kwa sababu ya mpango wao wa hovyo. Watu hawa tumaini lao ilikuwa ni kuungwa mkono lakini uongozi wao umewasaliti, umewatanguliza kama CHAMBO then mpango umeahirishwa. Lakini kuna vijana chungu mzima, ambao walikuwa driven na UKUTA wakajikuta wanamtukana Mkuu wa Nchi na Serikali yake nao wananyea debe wakati uongozi wao unaghairisha kiutani utani, opresheni iliowafikisha jela.

Hivi visingizio kuwa familia ya Nyerere imekutana na Lowassa na kumuomba, naomba nisitolee maelezo ila nitampigia simu personally msemaji wa familia hiyo Ndugu Makongoro ili ikiwezekana kesho ama keshokutwa afanye press, au aende Clouds au Efm kuthibitisha kuwa walikutana na Lowassa na kumuomba a-abort mpango mzima.

UKUTA chali, kama nilivyotegemea.

Jioni Njema...!!
Bila ubabe wa serikali yako, unafikiri UKUTA ungekuwepo?
Pia vitisho vya mm sijaribiwi mara demostration zenye lengo la kuvuruga maandamao ya amani, kisudio lao lisinge hairishwa
 
Upo vizuri mkuu kwani watu wanao dhihaki kuahirisha haya maandamano nadhani sasa ndiyo serikali iwajue kuwa ndio hawaitakii mema hii nchi
Polisi wamekuwa wakiwatafuta watu wenye maneno
ya uchochezi,kwa uzi huu watawapata wengi
kama kweli wanamanisha wanachokisema.

Mtu anayebeza kusitisha maandamano ya kesho
maana yake moyoni mwake au alikuwa anaitakia nchi hii mabaya
au alitaka aone watu wakivunjwa miguu ndo iwe furaha kwake.
 
Kwa mtu ambae kichwani ni betry low anaweza kuandika hayo ila nakuambia ukuta umefanikiwa sana jeshi linafagia wamefagilishwa bila kupenda polisi wanafanya mazoezi ya kukata vitambi kisa ukuta sasa nguvu kubwa ya nini wakat CHADEMA hawana hata upanga wala sindano wakiulizwa ukuta viongozi wa CCM ukuta shonza umekimbilia kupost ukuta huoni kama imefanya kazi?

Kirefu cha ukuta kishasambaa jamii imejua maaana ya ukuta halafu unaandika watanzania unajumuisha wote hadi wale milion 6 zile takwimu za asilimia 65 ya wanaomaliza udsm ni ****** zipo sahihi na nyie ndo zao lao mnajidhihirisha hapa mana unataka wapigane raia wa kitanzania ili iweje? Unataka kuwa Kiongoz unaehamasisha migogoro!!!!! halafu pia post yako ni ya kichochezi.
Kweli kabisa hii post ni ya kichochezi
 
kwa hiyo kwa vihoja vyako hapa jukwaani, ulikuwa unataka watu wapigwe kesho?

Kumbe ninyi ndiyo watu mnaoshabikia vurugu!

Mimi nilidhani kwamba watu wa chadema ndiyo wapenda vurugu kumbe sivyo!

Maana naona watu wa ccm wameumizwa sana na kuairishwa kwa maandamano ya ukuta.

Nchi hii haitajengwa kwa kushabikia wenzako wakipigwa.

Nchi hii itajengwa kwa upendo na umoja. Kitu ambacho Taifa hili imekipoteza.

Namuurumia sana MH Rais maana kuongoza watu ambao hawapendani ni jambo baya sana kuliko hata ukuta.

Ifikie maala mashileni kuanzia chekechea watu wafundishwe Upendo kwa wenzao tuliponye hili Taifa.
Nafikiri sasa serikali itaona na itaendelea kushuhudia vijana wa ccm kwa jinsi wanavyo furahia uvunjifu wa amani hapa nchini kama huyu shonza
 
Kesho watu wote tuungane na jeshi letu kuazimisha
miaka 52 ya kuanzishwa kwa jeshi hilo
na kufanya usafi. Kwa kweli hii nimeipenda.
 
Mh. Mbowe na viongozi wenzako
nawashukuru,kesho tumepata
nafasi ya kuangalia vizuri kupatwa
kwa jua bila kudhaniwa kuwa tunaandamana.
 
Kweli mkuu magufuli ana kazi kufikia tz ya viwanda kwa sampuli za kina shonza
Nafikiri sasa watawala wayaone haya mawazo na michango ya wana ccm ya kufurahia maandamano na kubeza juhudi za viongozi mabali mbali walio kuwa wanaomba kuahirishwa kwa haya maandamano
 
Ujinga mwingine ni kujiapiza hovyo kwa matamko...alijiapiza kutorudi bungeni,akajiapiza ukuta...kagonga ukutani.
Hilo la kususia vikao vya bunge vitakavyokuwa chini ya NS ndio litapelekea "songombingo" la mwisho la CDM!
...not long!
 
Back
Top Bottom